MATUMIZI YA ASALI KWA MJAMZITO NA FAIDA ZAKE? {TAHADHARI ZA ASALI KWA MJAMZITO}.
Asali ni Mojawapo la zao litokanalo na nyuki, Mwanadamu hutumia Asali katika matumizi mbalimbali, baadhi ya watu hutumia Asali kwa ajili ya kukausha na kuponya vidonda lakini pia sayansi inathibitisha
DALILI ZA HATARI KWA MJAMZITO KTK KIPINDI CHA UJAUZITO, WAKATI WA KUJIFUNGUA NA BAADA YA KUJIFUNGUA
Kipindi cha Ujauzito ni kipindi ambacho unatakiwa kuwa makini zaidi kwa sababu umebeba kiumbe hai Tumboni mwako, kuna baadhi ya dalili unapozipata unatakiwa kuwa makini ili kuhakikisha wewe mwenyewe Mjamzito
DALILI ZA MTOTO KUGEUKA TUMBONI MWA MJAMZITO {CEPHALIC PRESENTATION}.
Mtoto kugeuka (Cephalic Presentation) maana yake Nini?Mtoto kugeuka ni vile Mtoto anapokuwa amegeuza kichwa chini kwenye Nyonga ya Mjamzito na pia Sura ya Mtoto kuangalia nyuma na chogo cha kichwa
JE MTOTO ANAWEZA KUCHEZA TUMBONI MWA MJAMZITO MIMBA IKIWA CHINI YA WIKI 16 AU MIEZI MINNE?
Jambo la kustaajabisha sana kuna baadhi ya Wajawazito wanaweza kuhisi Mtoto kucheza Tumboni mwao mapema zaidi hii ni kwa sababu wahisia kali zaidi na kuhisi mtikisiko Mimba ikiwa na wiki
SABABU ZA KUCHOKA SANA KWA MJAMZITO KTK KIPINDI CHA UJAUZITO (KUISHIWA NGUVU KTK UJAUZITO)
KUCHOKA SANA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO NI HALI YA KAWAIDA KABISA JAPOKUWA KUNA WAKATI UNATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI KWA KUFANYA VIPIMO AU KUMWONA DAKTARI. Kuchoka ktk kipindi cha Ujauzito hutokea zaidi
MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)
MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO HUWEZA KUSABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO: KUMBUKA:Usinunue Dawa za maumivu bila idhini ya Daktari kwa sababu dawa nyingi za maumivu huwa hazitumiki kwa Mjamzito au katika
JE KIPORO CHA CHAKULA MJAMZITO ANARUHUSIWA KULA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO?
KIPORO (LEFTOVERS) ni chakula ambacho kimebaki au masalia ya chakula baada ya mtu kula chakula alicho kiandaa katika kipindi fulani inawezekana Jioni, Mchana na ahsubuhi! Vile vile hutegemeana na aina
JE CHOO CHEUSI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?
Kwa kawaida rangi ya Choo cha Mwanadamu huwa na rangi ya kahaiwa (Brown), lakini baadhi ya sababu huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito, Choo cheusi kwa
SABABU ZA KUJIFUNGUA KABLA WAKATI NA MAMBO AMBAYO HUPELEKEA KUJIFUNGUA KABLA YA WIKI 37 NA MTOTO KUWEZA KUFARARIKI.
SABABU KUBWA YA MJAMZITO KUJIFUNGUA KABLA YA MTOTO KUKOMAA AU CHINI YA WIKI 37 HAZIJULIKANI.YAFUATAYO NI MAMBO HATARISHI YANAYOWEZA KUFANYA UJIFUNGUE KABLA YA WAKATI. KUMBUKA: Uonapo vihatarishi hivyo unatakiwa kuwahi
SABABU ZA KUCHELEWA KUJIFUNGUA KWA MJAMZITO HIZI HAPA.
Mjamzito unatakiwa kujifungua wiki ya 37 hadi wiki ya 42 kwa tafsiri nyingine hiyo ndio Miezi 9, japokuwa kwa hesabu za kawaida wiki 42 ni sawa na Miezi 10 na