Kwa nini ni muhimu Mjamzito kushiriki Tendo la Ndoa?
Tendo la Ndoa ni Mojawapo ya starehe ambayo Mwanadamu alipewa na mwenyezi Mungu.Japokuwa zaidi ya 50% ya Wajawazito kupunguza hamu ya kushiriki Tendo hilo katika kipindi Cha Ujauzito ukilinganisha na
Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na Nini?
Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito ni jambo ambalo haliepukiki katika kipindi cha Ujauzito, Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito huweza kutokana na sababu za Ujauzito au Sababu tofauti na Ujauzito ambapo
Je Mjamzito aliyewahi kujifungua kwa Upasuaji anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida!
JE MJAMZITO ALIYEWAHI KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI ANAWEZA KUJIFUNGUA MIMBA INAYOFUATA KWA NJIA YA KAWAIDA?. Mjamzito ambaye aliwahi kujifungua Mara moja kwa Upasuaji kwenye Mimba iliyopita na endapo sababu iliyopelekea kujifungua
Je kipimo Cha Mimba huacha kuonesha kuwa Mjamzito lini?, Tokea Mimba kuharibika!
Mimba kuharibika ni Hali ambayo huwakuta 10% hadi 20% Kati ya Wanawake wote wajawazito yaani katika Wanawake Wajawazito 100, Kati ya Wanawake 10 Hadi 20 Mimba zao huishia kuharibika, 80%
MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA.
Mjamzito anatakiwa kujiandaa Kisaikolojia, Kibaologia na Kiakili kipindi ambacho tayari Mimba yake imefikisha Miezi Tisa na muda wa kukaribia kujifungua.Endapo Mjamzito alihudhuria Kliniki ipasavyo na kupewa elimu muhimu inayo husiana
MJAMZITO ANARUHUSIWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA MPAKA LINI?
Tendo la Ndoa ni Mojawapo ya starehe ambayo Mwanadamu alipewa na mwenyezi Mungu.Japokuwa zaidi ya 50% ya Wajawazito kupunguza hamu ya kushiriki Tendo hilo katika kipindi Cha Ujauzito ukilinganisha na
MIMBA KUHARIBIKA/KUTOKA MARA KWA MARA KUTOKANA NA UDHAIFU WA MLANGO WA UZAZI (CERVICAL INSUFFICIENCY)
UDHAIFU WA MLANGO WA UZAZI Udhaifu wa Mlango wa Uzazi ni Hali au shida ambayo huhusisha Mlango wa Uzazi kushindwa kudhibiti au kuzuia Mimba isitoke mpaka kipindi ambacho Mtoto anakuwa
MAMBO YANAYOPELEKEA MJAMZITO KUKOSA USINGIZI NA MAMBO YA KUFANYA ILI KUPATA USINGIZI KWA MJAMZITO!
Mambo ambayo huweza kupelekea kukosa usingizi kwa Mama Mjamzito ni kama yafuatayo! 1. Kuongezeka kwa hamu ya kwenda kukojoa Mara kwa Mara usiku! 2. Kupata maumivu ya Mgongo kutokana na
Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari?
Kwa kawaida Mtoto anaweza kucheza kuanzia Mara 3 mpaka Mara 100 ndani ya saa 1! Tafiti nyingi zilionesha ya kwamba kupunguza kucheza kwa Mtoto Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari
MICHIRIZI YA TUMBO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO.
Michirizi au Mistari midogo midogo ambayo hutokea kipindi Cha Ujauzito kwenye maeneo ya Tumboni, Mapajani na kwenye Matiti ya Mjamzito,hususani Miezi mitatu ya katikati na mwishoni mwa Ujauzito, Hali huwa