Tag : Ultrasound

MJAMZITO UNATAKIWA KUFANYA ULTRASOUND MARA NGAPI NA LINI KTK UJAUZITO WAKO?

Kulingana na ACOG Mwanamke Mjamzito anatakiwa kufanya Ultrasound angalau Mara mbili katika kipindi chote cha Ujauzito endapo Mimba yake haina shida yoyote! Mjamzito ambaye Mimba yake inachangamoto fulani mfano; kutokwa

Continue reading

JE ULTRASOUND INA MADHARA KWA MJAMZITO AU MTOTO ALIYEKO TUMBONI?

ULTRASOUND(SONOGRAM);Ni Kifaa au Mashine ambayo hutumika kuonesha Taswira au Picha ya Sehemu Fulani ya Mwili wa Binadamu ambayo imeathiriwa au yenye Shida fulani ambapo wa Huduma wa Afya huhitaji kujua

Continue reading