Uchungu usio halisi kwa Mjamzito(False labor).
Uchungu usiohalisi ni maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo hubana na kuachia ambayo Mjamzito anaweza kupata katika kipindi cha Ujauzito. Maumivu ya kubana na kuachia huweza kuanza miezi mitatu
SABABU ZA KUJIFUNGUA KABLA WAKATI NA MAMBO AMBAYO HUPELEKEA KUJIFUNGUA KABLA YA WIKI 37 NA MTOTO KUWEZA KUFARARIKI.
SABABU KUBWA YA MJAMZITO KUJIFUNGUA KABLA YA MTOTO KUKOMAA AU CHINI YA WIKI 37 HAZIJULIKANI.YAFUATAYO NI MAMBO HATARISHI YANAYOWEZA KUFANYA UJIFUNGUE KABLA YA WAKATI. KUMBUKA: Uonapo vihatarishi hivyo unatakiwa kuwahi