DALILI ZA MTOTO KUGEUKA TUMBONI MWA MJAMZITO {CEPHALIC PRESENTATION}.
Mtoto kugeuka (Cephalic Presentation) maana yake Nini?Mtoto kugeuka ni vile Mtoto anapokuwa amegeuza kichwa chini kwenye Nyonga ya Mjamzito na pia Sura ya Mtoto kuangalia nyuma na chogo cha kichwa
Je ni Mambo gani hufanya Mtoto kutogeuka Tumboni mwa Mjamzito??
Mtoto hugeuka yaani hugeuza chini Mimba inapofikisha wiki 32 hadi wiki 36 mabadiliko haya huwa ya asili, Mtoto anaweza kuwa ametanguliza Matako au Makalio pamoja na Miguu Mimba ikiwa haijafikisha
MTOTO HUGEUKA LINI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO!
Mtoto anaweza kuanza kugeuka kuanzia wiki ya 32 mpaka wiki 36 Endapo hajageuka kuanzia wiki 35 kurudi chini hiyo inawezekana isiwe shida kwa sababu anaweza kugeuka mpaka wiki ya 36