Tag : Mimba baada ya kujifungua

Je Mama anaye nyonyesha anaweza kupata Ujauzito/Mimba?

Jibu Ndio! Kuna baadhi ya akina Mama wanaonyonyesha hujishtukia tayari wana Mimba nyingine ndani ya miezi 6 tokea wajifungue hii ni kwa sababu wanashindwa kujua vigezo ambavyo vitawafanya wao wasitumie/watumie

Continue reading