Tag : Malaria

MJAMZITO HUTAKIWI KUMEZA SP ZA MALARIA MIEZI MITATU YA MWANZONI MWA UJAUZITO!

Sulfadoxine-Pyrimethamine (SP) ni dawa za Malaria hupatikana kwa Jina la Fansidar au Orodar ambazo hutolewa kwa Wajawazito kuanzia Mimba inapofikisha Miezi mi4 kwenda juu kulingana na andiko la mwaka 2012

Continue reading