Tag : Kahawa

Je! Mjamzito anaweza kutumia Kahawa(Coffee) ktk kipindi cha Ujauzito? {Matumizi ya Kahawa kwa Mjamzito}.

Jibu: Ndio! Mjamzito ili uweze kutumia Kahawa ni lazima uwe mwangalifu na utumie kwa tahadhari kubwa kwa sababu Mjamzito hatakiwi kutumia zaidi 200mg za caffeine ambayo zipo ndani ya Kahawa

Continue reading