Tag : energy kwa mjamzito

Je Mjamzito anaweza kunywa energy drinks(Vinywaji vya energy)??Madhara ya Vinywaji vya energy kwa Mjamzito!

Mjamzito unatakiwa kutumia Vinywaji vyenye caffeine kwa tahadhari kubwa sana. Caffeine hupatikana kwenye Vyakula kama Energy drinks, Chocolate, Kahawa, Chai, Soda aina ya Coca-Cola au Pepsi. Kutokana na ACOG, Mjamzito

Continue reading