Description
KWA NINI USOME KITABU HIKI?
Mjamzito inawezekana unajiuliza maswali kwamba “Kwa nini usome hiki tabu hiki?”
Jibu!
Ni muhimu usome kitabu hiki kwa sababu kimebeba siri nzito za kukufanya uweze kuongeza damu yako katika kipindi chote cha ujauzito wako.
Mbinu zilizopo katika kitabu hiki zitakusaidia damu yako isipungue katika kipindi chote cha ujauzito wako,
Endapo wewe ni mvivu wa kusoma basi ni vema ukisome kitabu hiki angalau ukurasa mmoja kila siku katika kipindi cha ujauzito wako.
Hizi ni baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wajawazito waliotumia mbinu zilizomo katika kitabu hiki, waliopo kwende kundi la whatsapp la Dr. Mwanyika.





No comments.