Damu imepungua kwenye Ujauzito wako

Response to "Damu imepungua kwenye Ujauzito wako"

  • Nimejifunza kitu kikubwa sana barikiwa, hata me pia nilikuwa miongoni mwa kusema huwenda mtoto ana umia pindi mama mjamzito anaposhiliki tendo

  • Ahsante sana hata mimi pia mke wangu alijua kuwa mtoto anaweza zaliwa na huo uchafu ila kupitia funzo lenu ametambua kitu nashukuru sana

    • Inategemeana kama Tumbo Limekuwa kubwa mnaweza kutumia style yoyote isipokuwa tuu missionary style ya Mwanamke kulala Chali au Kifo Cha Mende hauruhusiwi

  • Nimependa maelezo yako maana mara nyingi tunaambiwa mtoto anachafuliwa kumbe kusex ni msaada mkubwa kwa wajawazito.

  • Tatizo langu mara ya Kwanza mimba ili haribika na mi ya miezi miwili baada ya wiki mbili damu ilikata na Siku tatu baadae niliingiliana na mwenzangu bila kinga lengo tupate. Mwingine lakini baada ya Siku kama tano tunagombana nikalia Sana muda kidogo tumbo linaniuma na damu ikaanza kutoka inakirangi kama cha uaridi kama mkojo nyepesi shida itakuwa ni nini ety

  • Dokta habari… mm nina maswali mawili..
    1: kama ulissx tar 6 mwez wa tatu mpk leo 27/3 unawez kusema mimba in muda gani??
    2: mm nilishawah kuona dalili za ectopic preg kweny mimba yangu ya kwanza… bahat mbay ilitoka.. je kwa muda niliokuuliza hapo naweza kwenda hospital na dokta akaigundua kam nina normal or ectopic preg

  • Helo
    Hiyo hali imenitokea na sijui nifanye je
    Nimeenda hispital nimechek utrasound inaoneksna mimba ni ndogo sana
    Sasa na hii hali ya kupata hedhi ndo kabisa imenivuruga

    • Mchumba wangu kapima kakutwa na mimba ya miezi3.5 na hedhi katika miezi hiyo kapata nataka kujua je , kuna uwezekano wakuwa na mimba na ukapata hedhi ? Maana kaambiwa ipo nje ya kizazi na je kunamadhara gani ikiwa hivyo na tiba yake nini?

  • Habari naomba uniandikie dawa ya kipanda uso nina ujauzito wa wiki 20 siku ya pili kichwa kinaniuma sana

  • Samahan inasemekana style ya dogie inawezakupelekea mwanamke kushindwa kusukuma siku ya Mwisho ivi ni kweli?

  • Kiukwel nashukuru San kwamaan ufafanuzi wako umetusaidia Sana ktk familia yetu. MUNGU AKUBARIKI!

    • Kama umetumia basi unakuwa hamna namna ni vema kutumia folic acid zaidi kwa sababu hizo Dawa huingilia na kuharibika ufanyaji kazi au uchukuliwaji wa folic acid katika Mwili na kufanyika kwa vinasaba.

  • ASANTE SANA KWA ELIMU JUU YA MAANDALIZI YA MAMA KUJIFUNGUA.

    ILA NAOMBA KUJUA, CHUPA IKISHAPASUKA KABLA YA UCHUNGU, NI HATUA GANI ZIFUATWE?

  • HABARI ZA MAJUKUMU?
    MI NAOMMBA KUULIZA. JE, NI VYAKULA GANI VINAYOMSAIDIA MAMA KUPATA MAZIWA KWA WINGI?

  • Nilikua nauliz mimi ni mjamzito wa miez mi5 n nusu nishapat chanjo mbili za pepopunda jana nilijichoma na kiway chenye ncha je nilazima nikapige sindano y tetnus

  • Sorry eti mama mjamzito anapata maumivu sana kuanzia kweny tumbo mpka kweny haja kubwa tumbo apo linamuuma sana mimba ina wiki tatu

  • Dr mke wangu ana mimba ya miezi Tisa lakini ameenda kufanya kuchukua utrasound kaambiwa mimba Ina wiki 23 Ila miezi ya mwanzoni alipatwa na tatizo la kutokwa na damu wakati alipopata mimba

  • Habari Dr. nina week 39 kwa sasa na nina fungal infection ambayo imeshaanza kuwa treated na kuna maji meupe yanatoka ukeni na kuchuruzika mtoto anacheza vizuri. Sasa maumivu yanayonipata chini ya tumbo (kama period) kuzunguka kiuno hadi Mgongo ni uchungu au ni hii infection?

  • Samahani sijapim mimba Ila nikama ninayo maam matiti yamekua meusi Sasa tatizo kichwa kinauma Kila siku asubui na tumbo la chini je nifanyaj au nimeze daw gan

  • Kaka samahani mkewangu anapjtia changamoto kamili za mimba mapacha Sasa kafanya kipimo cha ultra sound cha kawaida Sana na sijui do kidogo maana hata Jinsia wameshindwa kuitaja tumezikuta tu napata changamoto na yupo MWISHONI Sana kaka je nn hiki maana kama kilo zimeongezeka kilo Sana kwa kasi nisaidie kaka kila dalili zote anazo tumboni kubwa a maivu makubwa ya mgongo na hata miguuyake ilivimba Sana tu Sasa tusaidie dk hapa

  • Kufunga kwa nyonga na kuuma chini ya kitovu. Huashilia mtoto tayari kageuka au bado?. Lakini hali hiyo husababisha na nini?

  • Nina miaka hamsini na cjaona miezi 2,nimekua na kiungulia,tumbo kujaa upepo,kuchoka cna na kulala cna na maumivu ya kiuno kama kwamba nitapata damu ya mwezi lalini hamna.Je naeza kua mja mzito kweli hasa na umri wangu

  • Samahani dr mimi nna mimba ya miez mitatu ila naumwa chini ya tumbo nkikala upande kugeuga n shida kiungio cha mapaja na sehem za siti zinauma nkitaka kujigeuza au kushuka kitandani na kuna siku iliashawai toka kidogo je tatizo n nn dr

  • nilifanya tendo la ndoa siku ya saba nikaanza kusikia kichefu chefu na kutapika na tumbo kuuma chini ya kitovu km nataka kuingia hedhi je ni dalili ya mimba?

  • Nikila kuna mda naisi kichefuchefu lkn sijawai tapika na naisi maumivu ya mgongo yaani uti wa mgongo kama unachoma na nakojoa mkojo wenye arufu kali matiti yananiuuma sana na ninalala sana lkn tabia ya kulala uvyo ninayo toka zaman na sioni sikuzangu na ninatokwa na uchavu mweipe kwa wingi na nimeongezeka uzito ni mwezi wa pili sasa lkn auna harufu inaweza kuwa ujauzito?

  • Nili bebe mimba ikatoka mwenz wa pili mwaka huu mbaka sas sijapata mimba ten na mimb yangu ime alibikika ikiwa ya mwezi mmoj na nusu sas sijui nitakuwa natatizo gan ??

  • Sku zangu huwa haziji kwa mpangilionaweza nkavusha hata mwez nkaingia mwezi mwingine na tarehe hazijawahi kuja kwa moangilio mzuri na nakumbuka hedhi yang ya kwanza nilienda siku 17 ila baada ya kufanya tendo najikuta muoga Sanaa maana nahis kuwa nina mamba japo mwenza wang aliniambia kuwa hakufanya mistake ndani ya uke wang ila shuka lililoa bado nahis kuogopa sana

  • Doctor mimi nina miez mi wili ila naelekea wa 3 nasumbuliwa na UTI haziishi sijuh nisugu nimetumia mpka sindano nikiwa na mimba mwezi mmoja lakini bado

  • Ninamiaka 26 mm nilipitiliza mwezi moja na siku 10lakin damu ilikuwa inanitoka matone matone alafuinakata siku ya kumina 15 ikaja ikatoka damu nyingi.sana nikaenda siku 10. Talehe24 NIKAWA nikosawa nikakutana kimwili . .sasa nashangaa ninadalili kizungu zungu na kutapia

  • Nina miaka 44 nimemaliza siku zangu tar 23/11 Sasa nashangaa tar6)12 zimejirudia na maumivu ya tumbo na kiuno

    • Mie nilienda period mwezi wa 3 trh 7 mwakahuu lakin mpka mwezi wa nne ukapita mwezi huu wa tano trh mbili nimeenda kukojoa vimetoka vidamu na tumbo la chini linauma ila hili lakuuma tumbo nikila siku linauma lkin Leo ndo vidamu vimetoka shida itakuwa nn

  • “Kama Mimba yako haijafikisha wiki 36 na Mtoto hajageuka basi usihofu Mtoto atageuka tuu”, je akiwa na zaidi ya wiki 37 na bado hajageuka,atageuka? Nini cha kufanya? Na madhara yake ni yapi endapo hata geuka?

  • Dr tumbo linauma chini ya kitovu,ute umezidi kuwa mwingi ukeni,na maumivu ya kichwa napata lakio sio mara kwa mara joto linapanda
    Je itakuwa ni nn dr??

  • Io kipindi nakipitia sai maadamu nimepata maelezo nitakimbia hospitali maana imenikoroga sana akili jambo hili na mimi ni mjamzito wa mwezi moja

  • Dr ata mie hali imenipata hii mtoto kaanza kucheza mimba ya wiki 9 sjasahau tareh yang ya mwisho wa hedhi sjasahau wiki tisa alikuw anacheza upande wa kulia ilivo vika woki 12 anacheza kushoto kunasiku nilimskia kulia. Na kushoto anacheza amekaa wiki mbili ajacheza nimeanza kumskia leo wiki ya 15 anacheza ten,,,,nilifanya oltsound mimb ikiwa na wiki 13 nikaambiwa ni mmoja tu mim mimb zang zilizopita watot wanacheza miez5 hii wiki 9 ilinishangaza na kujibadil na ubavu kulia kwend kushoto

  • Me kabla ya mimba nilikuwa na kilo 70 nikapima kilo mimb ya wki 5 nikakuta na kilo 76 nikapima kilo mimba ya wiki 11 nikakuta na kilo 86 je izi kilo ni sahihi auzinapand san nijib pls

  • Wiki ya 34 kutumia mishipa kwenye kine na kwa upande wa kushoto yaaa I maumivu makalu hii ni nini Hasa nakosa raha

  • Doc. Mimi nimekaa mda mrefu miaka 15 ndo nimebeba mimba ya pili. Je mtoto wangu atacheza kwa mda wa miezi minne au atachelewa kama mtoto wa kwanza???

  • halaf pia napta maumivu ya tumbo,kiuno,kichwa n chuchu zinauma na pia tumbo langu Liko na gesi xn xx cjui itakuw nn naomb unixaidie

  • Habari mm tumbo Lang la chini Lina fura alaf linajaa ges tumbo na kujamba ninja siku ya kumi na mbili sijpt choo na uchovu Sana asbh,nahuwa kunamuda napwata na hasira

  • Nimetoa mimba nina wiki mbili tumbo lauma na damu haitoki na nimetoa kwa njia ya kusafishwa asahiv n wiki ya 2 na siku 3 na kipimo bado kinasoma

  • Ni kwa muda gani maumivu ya sindano ya chanjo yanadumu,maana kwangu ni siku ya tatu yanaendelea,ni hali ya kawaida au kuna shida?

  • Je mjamzito kutokana na damu nyingi katika siku zilezile za hedhi na kwa zaid y cku saba na kwa mfululizo wa miez 3. Nabado kipimo cha utlasound kinaonyesha mtoto bado yumo na anamapigo ya moyo je hii inamadhara kwa mtoto atakae zaliwa baadae?

  • Dr Mimi mimba yangu ni kwanza lakini Kuna mda naisi maumivu yanahama hama Mara kulia kushota maumivu hayo nayapata asubui nikiwa nimelala. nikiamka kutembea nahisi maumivu kwenye kisingino, naomba msaada mimba yangu ni ya miezi mi tatu sasa

  • Poleni sana kwa gote hayo lakini cha muhimu nendeni hospitali kwani majibu sahihi ni vipimo tu

  • Je inawezekana ultrasound ikatoa majibu tofauti kuhusu umri wa mtoto kinyume na matarajio ya mama ? Kama kweli ni kwanini?

  • Hajaona siku zake siku12 ,anakojoa mala kwa mala na kipimo Cha UPT kimeonyesha mimba ila Cha ajabu damu imetoka alafu ikakata,je ni nini?

  • Asantee saana Dr.mimi ni mjamzito wa mimba ya kwanza ni miezi mitatu Sasa nasikia ngozi kama Iko na viminyoo yaani inawasha sehemu za tumbo naweza Anza kutumia mafuta ya olive oil au cocoa butter kwa sasa

  • Habari Dr naomb kuuliza mm yaan ziwa moja linaniuma xana na linatoa majimaji sijui shida ni nn

  • Mimi nina dalili zote Za mimba ila damu imetoka leo asubui ila sio nying na inaendelea kutoka je nikinunua upt nipime itasoma au niende ultrasound tu

  • Asante Sana ubarikiwe maana mbavu inaniuma upande WA kulia mpk nahisi kama nmevunjika nmeenda hospital wananiambia ni kawaida nikawa cwaelew yaani

  • Hello, wife wangu alikuwa au anatumia siku 4 kubleed lakini alipokuwa siku za hatari nilikutana nae , Cha ajabu muda wake wa hedhi ulipofika mwezi huu kableed siku 1 tu ikakata Sasa je huenda Ana mimba Changa au ikoje kitabibu? Nisaidie majibu ikiwezekana nitumie kwa 0764189966 au email _milembeulimwengu@gmail.com

  • Mimi NILIPATA bleed tareh 22
    Nikamaliza tareh 26
    Then tareh 27 ,28,1 mwez wa 5
    Nilisex
    Nikawa napata dam ndogo tu za cku 2 zinaisha
    Nikaendelea kujisikia vibaya tareh 8 mwez wa 5 nimepima u.p.t inaonesha positive ndo najiuliza inawezekana ikawa ni mimba????? Na nimepima kwa vipimo v3 vyote vinaonesha ivo

  • Nina umri wa miaka 25 na sioni siku zangu ila sina dalili yoyote ya mimba shida ni nn au inaweza kuwa ni sababu ya kubadilisha mazingira.

  • Ndugu yang anashida samahani dokta Mimba iliharibika mwezi wa 4 tarehe 15 hadi leo mimba Bado inasoma ipo je Ni mimba nyingine au mimba ya mwanzo inasoma?

      • Habari nina dada yangu anaujauzito wa wiki ya nne sasa ila ameanza kupata maumivu ya mgongo kiuno na tumbo leo ni siku ya tatu na akienda haja ndogo mkojo unakua msafi ila mwisho kabisa anaona matone ya damu je nini afanye mana ameenda duka la dawa wanasema viashiria vya mimba kutoka na wamempa phenobabiton na buscopai

  • Mkewangu kwenye dalili 30 yeye ana dalili28 lakin alienda kupima akakutwa Hana mimba na Kuna siku amejikuta anatoka dam Yani kama anaingia kwenye cku shida apo ni nini

  • Mimba yangu ilitoka nliona vinyamanyama tuh na damu kidogo ikawa inaendelea iliyopauka mimba ilikuwa wiki mbili ila sasa hiv nashika chini ya kitovu kwa mbali nahisi ugumu shida ni nini?? Haijatoka ama

  • mm nilikuwa natumia sindano za uzazi lakn ilipo isha muda sikuchoma na nikapata siku zangu 26 mwez wa 5 mpka ss sijaona tena lakin nimekuwa pono na mvivu sana chuchu zimeanza kuuma nina wiki ss nimepima lakin kipimo kimekuja negative hvi nitakuwa na dalili ya nn

      • Habari Mimi nilikua natumia dawa za kupanga uzazi ndani ya mwaka mmja na nikaziacha tokea mwezi wa nne nikapata period mwezi wa tano na sasa imefika miezi 3 sijapata periods naumwa chini ya kitovu na nimepima mimba zaidi ya Mara tano sina mimba na dalili zote za mimba nikonazo na nimepima kila ugongwa sina sasa itakua ni nn nisaidieni na mawazo maana mwili wangu naona unaongezeka kila Mara.

    • Habari mama mjamzito wa wiki 8 anaumwa sana tena mara kwa mara akienda kupima hana ugonjwa ila anasikia maumivu tumboni na kichwa kuuma pia kuhisi homa hii inasababishwa na nini na ikiwa huu ni ujauzito wake wa kwanza
      Na nini anapaswa kufanya ili awe sawaa

  • Mim nilikutan namr wangu baada ya hapo Huw nahisi homa hasa asubuhi na usku na tumbo linaniuma kama ntaka kuingia kweny period na vitone vya damu alfu vinakta unatoka Ute mwingi mweupe hii inawez kuw mimb?

  • Shida yangu huwa nahisi tumboni kuna vitu vinacheza shida nin?. Na jambo lingine nimeshangaa kuingia kwenye siku zangu mala mbili na haijawai nitokea

  • Dr. Mke wng toka atoe ujauzito mwez wa 2 mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwenye siku, mwezi wa 4 alienda sku 13 ila maumivu yalizidi mpaka nikampelela hosptl wakampa dawa na sindano, akakaa sawa ila mwez wa tano na wa sita kaingia sku 6 mpaka 7. Mwez huu wa sita ikiwa naendelea kulala nae tena sku za ovulation ili apate mtoto kwa mda huu ameingia leo asubuhi kwa kuona mabonge bonge basi then ikakata alivoenda kukojoa. Je tatizo ni nini doc.?

    • Kama Mimba iliharibika mnatakiwa msubiri angalau miezi 6 pasipo kupata Mimba ili Mkeo Mji wa Uzazi uweze kupumzika, sasa mpeleke hospitali kafanyiwe vipimo zaidi ili kujua shida yake haswa ni ipi?!

  • Samahan doctor mm nilipata hedhi tareh 30 mwez5 ila ilikuwa siku yangu imebadirika nilishangaa sana kuona siku zimebadirika nikajua tapa tena siki zang tareh 7 mwez 7 ila chakushangaza sijapata siku zangu mpk hii tareh 14 ila napata maumiv yakiuno kama naingia kwenye siku zang nq chuchu zinauma
    Sanq kichwa na mgongo inaweza ikawa nn docter

  • Habari mm Mimba yang ina miezi nane na wik mbil lkn ninaumwa na tumbo la Chini ya kitovu sasa sijui kama ni dalili za uchungu au

  • Sijawahi fanya mapenzi ila Nina Mpenz I amabaye huwa tunafanya lakini hajawahi kabisa kuingiza ndani yaani hufanya juujuu tu.je hapo naweza kupata mimba?

  • Niliona Ute wa uzazi siku ya Saba ya hedhi nikafanya mapenzi siku hiohio ya Saba saiv mwili hauna nguvu nahisi kulala Kila muda naona Ute mwing unatoka ukeni mdomo mchungy.

  • Nauliza swali, Mimi nilichoma kinga zile tatu za Kwanza na ya nne Ni baada ya mwaka mmoja sikuchoma ikapita miaka miwili ndio nikaenda hospital wakaendeleza ile kinga ya nne. je hapo ntakua sijaharibu kinga?

  • Nimetoa mimba na mwezi lakini bado dalili za mimba ninazo ila nikipima kwenye kipimo cha mkojo mimba aimo kinakuja kimstar kimoja naweza kuwa na shida

  • Nina mimba ya week 8 lakini naumwa kila siku tumbo la chini kama la period huu ni mwezi sasa linauma kila siku na matiti bado yanauma kama dalili za period kuna muda naumwa mgongo pia nin shida

  • Mimi militia Mumbai trehe 10/8 mwaka huu Ila damu ilitoka tu mabonge mabonge Mara moja hayajatoka Tena Nina mtoto mdogo na pia nmekutana na mine wangu Sasa nahisi dalili za mimba ila mume wangu alimwaga nje Mara zote

  • Habari,mke wangu Leo hii ameanza kuhisi dalili za kushika na kuachia wiki ya 36, pia kutokwa na Ute mweupe, je ni dalili gani? Na Nini tufanye,

  • Mimi ni mjamzito nina mimba ya wiki 14 na siku 3 nilikua natumia style ya kulala chali kwenye tendo la ndoa je naweza nikawa nimemdhuru mtoto?

  • Je ni kweli mtu akiwa na mimba na akableed mimba inapungua? Kama amebleed miezi 2 basi atajifungua baada ya miezi 11 badala ya miezi 9?

  • Habar docta swal langu n kwamba cjapata hedh mwez huu na zmepitilza xk 5 kuna mda nahisi dalil za hedh lkn cn dalil yyt ya mimb n matit kujaa t sijajua nbtatzo gan

  • Samahani nimepima nikakuta nina mimba ya wiki mbili ila baadae nimeingia period kabla ya siku zangu. Je hiyo inaweza ikawa tatizo?

  • Nimekueelewa maana mm mtoto wa kwanza nilijifungua na 41 na huyu wa pili sa hv niko 40 bado cjajifungua, hivi kuna namna ya kuepukana na hii hali ya kujifungua kwa kuchelewa?? Maana inachosha kwakweli

    • Hapo kikubwa endelea kufanya mazoezi ya kutembea tembea kama huna shida yoyote inayokufanya usifanye mazoezi ya kutembea tembea na pia tumia chai ya Rangi kunywa ikiwa ya moto moto sawa eeh, jitahidi na kumwomba Mungu pia.

  • Habari yako dokta naomba nikuulize juzi tarehe 9/9/23 nilienda kumpima mkewangu afya akakutwa na malaria na UTI kisha nikwaomba wampime na UTP ili tujue ana mimba maana hedhi yake hakuiona ktk yale masiku aliyoyazoea bahati nzuri ameonekana mimba anayo.sasa dkt mpaka sasa mkewangu analalamika tumbo lamuuma sana Chini ya kitovu

  • Dr mm nimemaliza piriad nikakutana na mume wangu siku zangu za hatari lkn saiv tumbo linaniuma sana chini ya kitovu mda mwengine mpaka chini kunavuta mpaka kiuno kinauma nikifanya kazi za kuinama sana mgongo unauma nimetoka chunusi maziwa yanauma mda mwengine kama nataka kuingia kwenye piriad lkn tarehe yangu bado sana inaweza ikawa ni mimba mda mwengin nikimaliza kusex tumbo linauma sana

  • Hi mamaafya mke wangu ana ujauzoto wa wiki nne na upatwa maumivu makali chini yakitovu
    na kiuno ambayoo uweza kudumumu siku nzima. Ili husababishwa na nini.?

    • Doctor. Mimi Mkewangu Ujauzito Ulitoka Ukiwa Na Miezi Miwili.Na Nusu Nibaada Ya Kuwa Anapata Maumivu Makubwa Sana Chini Y Kitovu, Alivyoend Hospital Akaambiw Mimba Imeharibik Ndipo Wakamvuta Vikatoka Na Baad Y Kuvitoa Damu Zilitoka Nying, Na Baadaye Akawa Ametok Hospital Na Hakupew Daw Yoyote Bali Alitumia Dawa Z Maumivu.Tu, Mpk Wiki Tatu Zimeish Kukawa Kunatok Uchafu Wa Kawaid Tu! Tena Mudogo Mara Leo Usitoke Mara Utoke Mpka Nikawa Nakutana Naye Baada Y Siku Kama Sikuhiyo Hamuna Uchafu, Lakin Baad Y Mwez Kuisha Sasa Ndo Damu Nzito Za Mabonge Mabonge Zimeanz Kutoka Na Damu Nyepesi, Pia Kutokwa Na Haruf Ukeni Kila Akiend Hajandogo Vimabonge Vidogo Vilivyochanganyana Na Damu Vinatoka, Na Pia Mda Huu Sasa Ahisi Tena Tumbo Kuuma Kwa Mbali Tena Chini Ya Kitovu, Mwili Kuwa Dhaifu Maramojamoja Mara Kupenda Kula Udongo. Naomba Ushauri Doctor

  • Nilitumia p2 baada ya tendo maana ilikuwa siku za hatari ila nimepata hedhi kwa wakati na hakukuwa na mabadiliko ya siku kupungua au kuzidi ni zilezile siku tatu ila sasa baada ya wiki mbili napata kichefuchefu tumbo kujaa gesi na uchovu je ni madhara ya p2 au ujauzito??

  • Naomba kuuliza Kuna dalili naziona natema sana mate mdomo mchungu nachagua vyakula miguu Haina nguvu….Cha hajabu jana nilipo amka na kwenda chooni nikaona Ute Ute umachanganyika na damu Kwa mbali

  • Je mwanamke aliyekutana na mwanaume Tar 2 Mwezi wa 9 mwaka Jana anaweza kujifungua mapacha Tarehe 20 Mwezi wa 4 mwaka huu?

  • Kipimo Cha mimba hakionyeshi kabsa kama hipo na haipo wakati ilitoka ya miez miwili na wiki mbili pia
    Kunadalili ya maziwa kutoka hiyo unamanisha nn?

  • Nilitumia misoprostol damu Ilikata baada ya siku 11. Kwasas mate yanakuwa machungu na matiti yanajaa kama mtu anayekaribia kuingia hedhi, je hizo n dalili za mimba kuwepo?

  • Tarehe 25 mwez wa tisa ultrasound nilipiga ikasema mimba ina week 39 na pia ikasema tarehe ya kujifungua ni leo tarehe 8 ila me nina kama week mbili naumwa nyonga na uku chini kuna vuta kama kuna kitu kinaachia inaweza kuwa uchungu ila sion makamas wala maji maji

  • Asante kwa mafunzo but Nina dalili zote za mimba ila Kila nikipima napata majibu kua negative na Nina mabadiliko yote ya mwili kama mtyu mwenye mimba

  • Habar doct ivi Ipoje.
    Uck nikiwa naenda haja ndogo pindi nanyanyuk nasikia km mifupa ivi inagongan maeneo ya kweny kibof mpk chini… Mimba ina week 35 na siku 4 je inawez kuwa nn.?

  • Jamani Mimi nilipima nikagundua nina ujauzito lakini toka nimepima nikawa nimeona dalili za hedhi nikaenda hospital nikapima nikapatiwa dawa ila Cha kushangaza adi leo ni siku ya kumi niko hedhi shida ni nini

  • Nina maumivu sana ya kiuno na mgongo na mda mwingine swezi fanya kazi nikiwa nmeinama mpaka nikiwa nimekaa.. mwili nao unachoka saanaa je na mim nitakuwa na ujauzito??

  • Habar Mimi nimejichoma na sindano kwenye goti mapata maumivu makali Sana na pia nimechoma sindano za chanjo 3 je natakiwa nikachome sindano za tetenasi?

  • Kipindi mpenzi wangu sijagundua ana mimba nilijua anasumbuliwa na magonjwa mengine akawa anatumia madawa vp izo dawa zinaweza kualibu ujauzito

  • sasa mfano nimepata mimba uku damu zikatoka mi nikajua bleed kumbe sio ni kwa namna gani ntaweza kujua kam nin mimba

  • Habari je kama mtoto amegeuka kunauwezekano akarudi kama mwanzo kutanguliza makalio au akishageuka ndiyo basi

  • Sina dalili za mimba kama vile kichefuchefu wala kutapika na zingne pya lakin kipimo cha mkojo kinaonesha na mimba je hii inawezekan?

  • Habari mama afya pole na majukumu ya kazi..mimi siku nane baada ya kukutana na mwenza wangu nilianza kutokwa na damu natone haijai kwenye pad na nikifuta inakuwa na rangi ya pink nikajaribu kupima mimba ikatokea mstari moja umekoa na mwingine umefifia,baada ya siku tatu nikapima tena majibu yakaja negative sasa sielewi shida ni nini

  • Habari tatizo langu nikuwa mke wangu ananiambia kuwa ujauzito wake uko inje ya mfuko wa uzazi so hataki kufanya mapenzi , je nikweli huturuhusiwi kufanya mapenzi??

  • Dr Nina wiki ya 40 Maumivu ya nyonga kiuno tumbo linauma kuanzia asubuhi mchana usiku mpka nakosa usingizi nifanye nini

  • Nampenda kuuliza Mimi nimechoma sindano mbili nilipokuwa mjamnzito2021 juzi nimejikata najembe je napaswa kwenda kuchoma sindano nyingine Tena ?

  • Nina ujauzito wa wiki 15 n siku kadhaa,nimekuwa na changamoto ya miscarriage ,mwenz wa 5 nlipata hiyo shida,nikabeba mimba tena mwez wa 9 .natoka nimebeba mimba nimekuwa nikitumia duphstone 2×2 kwa siku mpk.sasa n vidonge vy maumivu ya tumbo hyscine 2×3.kwa kila siku.kwa kuelekezwa n doct.je na maumivu y tumbo hayakomii n niko bedrest.swali langu nikutaka kujua hivi vidonge havitaleta madhara kwa mtoto?
    Asante.

  • Napata maumivu makali kwny kichwa had naona kizito mim ni mjamzito na hii mimba yang ya pili lakini ujauzito wa kwanza hali hii sikuwahi kuwa nayo

  • Samahn sifaham jinsi ya kuhesabu mzunguko mfano nimeanza piriod tareh 18 mwez 12harafu nikaanza Tena piriod tarehe 15mwez wa1 je hapo na hesabu vip ili
    kujuwa siku ya kushika ujauzito

  • Doctor nna Mimba Ya Miez 7 lakn Mtoto ameshageuk ila hachez Sana Mama Zaman Shida Iko wap Maana Naogopa Zaman Nlizoea Mashuti Saiv Namskia Chini Ya Kitovu Tuu

  • Habari dokta, natokwa na maji maji yasiyo na ladha wala harufu kwenye titi langu la kushoto na nimepima sina mimba, shida ni nini?

  • Samahani DR Mimi nilikutana na mpenzi wangu siku ya 18 na ya 25 januari baada ya period lakini mpaka sasa sijaingia period je naweza kupata mimba?

  • Nina zaid ya wiki mbili napata dalili zote za mimba ila wiki ya tatu kwenye tarehe zang za period nimeingia period lkn damu ni nyepesi na kichwa kinauma pamoja na maumivu ya tumbo chini ya kitovu na nilipima mimba wiki moja kabla ya hedhi kipimo kikaonyesha sina je hii inaweza kua ni nini?

  • Mimi mtowangu an umri wamiezi miwili lakini bado kitomvu chake bado hakija funga bado kinatoa majimaji naomba msaada wakitabibu

  • Habari mm mimba yangu Bado changa ina moezi miwili ila tumbo linaniuma sana hamu ya kula chochote sina na kichefuchefu ila tumbo linaniuma Kuna mda linakuwa sawa na Kuna mda linauma

  • Samahani me ninamimba ya miezi minne lakini Mara nyingi tumbo unishika sana chini ya kitovu na mtoto anacheza chini ya kitovu yaan tumbo limevimba zaidi chini ya kitovu na kuna wakati nkikaa nkija kuinuka nyonga zinashika unaweza nipa ufahamu juu ya hilo please

  • Mimi nina week 30 naumwa mbavu ya kulia sik ya 3 sasa kuinua kitu kizito siwezi nikipumua nasikia maumivuu. Nikilal ni sid moja kuna kugeuka had nigeuzwe hata kuita mtu naogop maan nasikia maumivu siyo kidogo

  • Habari mm nina mimba ya miezi 8 wakati mwengine mtoto anakaza ya kama anasukuma tumbo inapelekea kuhc maumivu je nikawaida nijuze please

  • Mm nilikuwa situmii folic acid kila siku mpaka sasa mimba yangu inamiez mitano je naweza kuleta masihara Kwa mtoto

  • Mi nlkuwa mjamzito kama wiki moja badae nkatoa damu kama siku nne nyingi Ila sikuwa na maumivu ya tumbo Ila sahv najhis kama mjamzito maumivu ya mgongo na kizunguzungu shda inaweza ikawa nn dk

      • Nlikuwa na mimba ya wik tatu sas nlikuwa naumwa sana nkatumia dawa ya kutoa ikatoka yalitoka mabonge siku Moja tu siku niliyo tumia hiyo dawa na uchafu mwusi umetoka Kam sik 6 hivi . Nlitoa tr kumi na Moja mwezi huu lkn tar 20 juz nkajarbu kupima ikaonekana bado ipo je itakuwa imetoka au bado na nifanyaje Nini naomba nisaidie ushauri wako doctor

          • Habari mama afya, mim nlijihis mjamzito baada ya week 3 ma nikapima kupitia upt nkakuta kweli ipo lakin nlikua napata maumiv sana chin ya kitovu na nkapata dalili zote za period na nlikua natoka uchafu wa brown….mara baada ya kumeza kile kidonge kimoja cha kutolea vikaanza kutoka vidam dam nlipomalizia vile vi4 dam ikatoka kwa muda wa siku 3 tu na sio mabonge ni dam ya kawaida kam hedhi na maumiv ya tumbo nliyapata sana kama ya hedhi je mimba imetoka??

  • Habari, naomba kuuliza niliweka kipandikizi (kijiti) Cha miaka 3 lakini nilikitoa baada ya miezi 4 tu kwasababu ya changamoto nilizokuwa napitia kama kuumwa mara kwa mara na matone ya damu Kila wakati. Tangu nimekitoa Nina week mbili sasa sijaingia period je naweza kuwa na shida mahala?

  • Ikiwa mimba in a wiki32 na kuanzia asubuh tumbo linauma sana kam uchungu na kuharisha je ni kuashiria nini kam tumbo linauma sana kisha haliponi linakata kidogo kisha maumiv yanarud tena

  • Sor niko nje ya mada kidogo ila nahitaji msaada kusema kweli nilimeza dawa za kutoa mimba misoprosto lakini niliona matone machache ya damu then inatulia nikifanya kazi naona matone ya damu afu yanakata yanatoka tena sehemu nyingine actual siyo damu nyingi ni matone machache mimba ilikuwa ya wiki 3 naomba ushauri naogopa kwenda hospital

  • Habari naomba kujua kuwa nimepitiliza siku zangu Leo siku ya 2 Ila nahisi maumivu ya tumbo LA period kwa mbali Siku ya tatu hii hali lakini dam hazitoki hii inaweza kuwa shida gani?

  • Habari Dr
    Me nimekutana na mwenzangu katika siku zangu za hatari lakini sioni dalili zozote za mimba ila tarehe zangu za period zimepita na sijaona siku zangu je naweza kuwa mjamzito

  • Samahani naomba kuuliza mimi nilichoma sindano mbili za mwanzo ya tatu nilitaka kuchoma tarehe 27 mwezi wa tano nikasahau nikaenda kuchoma tarehe 20mwezi wa sita je ni sawa au natakiwa kuanza upya

  • Mm sijaona siku zangu nimepitiliza siku 4 lakin; naumwa tumbo kam nataka kuingia p, pia naumwa kiuno na uchovu na sipat haha kubwa je shida itakuwa nn

  • Mimi nilibeba mimba operesheni ikiwa ina mwaka mmoja na sahivi innaelekea miaka miwili na nina ujauzito wa miezi tisa naweza kujifungua kawaida?

  • Mim nahc kichefuchefu,kichwa kinauma na tumbo langu limeanza kukua,mwili umechoka,uchovu mood ni hasira sana lakn cha ajabu nimeenda period ck 7, ambayo c Kawaida na nimechelewa kupata period…inawezekana ikawa ni mimba?

  • Nimeharibikiwa mimba Kama wiki 2 zilizo pita zilianza kutoka damu baadae zikakata zikawa zinatoka kidog kido mpaka siku 4 tumbo liliuma Sana na mgongo kesho yake siku ya 5 kakatoka kajitu Kama ini Jana urefu sawa na kidole kidogo Cha mwisho baada ya hapo tumbo halikuniuma Tena .ila maziwa nikikamua yanatoa maji hayaumi ila zile dalili za uchovu kichef chefu kizungu zungu Sina . Nimepima kwenye upt kinasoma Bado imo Ila mstari ule umefifia Sana . Je inaweza ikawa ipo bado?? Msaada please

  • Mke wangu anamenimbia haoni pilika pilika za mtoto tumboni tangu juz. Hii ipoje naomba msaada kujua je Kuna shida ama?

  • Samahani nimeshiriki tendo la ndoa n mke wangu mwenye ujauzito wa miezi 5 na wiki tatu lakini anapataa bleeding tatzo linawezA kuwa nini

  • Nina ujauzito was miezi minne na ni wa kwanza lakin Bado sijaaanza kwenda klinik, je Kuna madhara naweza kupata?

  • Nina ujauzito ni mwezi wa nne sasa mtoto hajaanza kucheza bado he inaweza kuwa ni tatizo ni nzao yangu ya tatu sasa

  • Je ikiwa nimejifungua kwa upasuaji mara tatu mfululizo,watoto wamepishana miaka miwili miwili,nikibeba ujauzito mwingine kuna hatari?

  • Habari Mimi nimeshindwa kuingia kwenye siku zangu kwa mwezi wakwanza lakini nahisi tumbo langu limejaa gasi na pia nahisi joto Kali Sana naweza nikasema siyo mimba kwa sababu sijakutana kimwili na mwanaume kwa sababu mwezi uliopita niliingia kwaiyo shida itakuwa Nini?

  • Doctor mimi Nina mimba ya wiki 21 lkn mtoto hajaanza kucheza, nilipoenda spital nikafanyiwa ultrasound wakasema hamna shida, Sasa nauliza tatizo ni Nini?

  • Dr sorry me nilitoa mimba ya one month then baadae damu imetoka siku mbili tu ila kipimo kinaonyesha ipo je ipo kweli au

  • mtoto kucheza na miezi 3 nisawa aukuana shida maana mwanzo inatakiwa kuanzia mienzi minne

  • Maelezo haya yamesaidia sana hasa kuondoa hofu kwa mama mjamzito na kutoa mbadala cha kufanya mfano namna gani unaweza punguza

  • Nimeelimika vyema,nimeelewa kilichokuwakinanisumbua.nilijua mwezi moja akikaribia eti unaacha kumbeunaendeleza kukomaza mtoto safiiii?

  • Mke wangu ana mimba ya wiki 38 kuna muda tumbo linakaza/linavuta hadi kupelekea maumivu na kwenye kitovu pia vivyo hivyo je ni salama? Na mtoto anaweza kuwa ameshageuka? 🙏

  • Habari dr,mimi nilishiriki tendo la ndoa na mwenyangu,mwezi ulipita sikuona hedhi zangu.baada ya kuendelea kufanya tendo la ndoa damu ilitoka ya brown baada ya wiki mbili kwa siku tatu na sasa sijaona hedhi zangu tena,shida inewaza kuwa nini?

  • mpenzi wangu mwezi wa pili huu hedhi yake inabadilika kwa tofauti ya tarehe mwezi ulioisha aliingia tarehe 12 mwezi huu ameingia tarehe 1 shida itakuwa nini mtaalam