KUHUSU SISI

Kupitia Blog hii utajifunza Mambo mengi kuhusu Mama na Mtoto Mchanga,yaani kuhusu Magonjwa ya Mwanamke, Kupata Ujauzito, Ujamzito au Mjamzito na changamoto zake na Mambo yakufanya Mara baada ya kujifungua aliyejifungua.

Vile vile utajifunza kuhusu kukosa Ujauzito, Mambo ya kufanya kabla ya Kuwa Mjamzito,jinsi ya kupanga Ujauzito, Njia za Uzazi wa Mpango na Mambo mengine mengi kuhusu Mama na Mtoto Mchanga.

No comments.