MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)
MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO HUWEZA KUSABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO: KUMBUKA:Usinunue Dawa za maumivu bila idhini ya Daktari kwa sababu dawa nyingi za maumivu huwa hazitumiki kwa Mjamzito au katika
KUTOKWA MAZIWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO!
Kutokwa na Maziwa au Maji maji kwenye matiti ktk kipindi cha Ujauzito. Wajawazito wengi huwa wanapata hali ya kutokwa Maziwa au Maji maji ktk kipindi cha Ujauzito na kabla ya
KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HARUFU MBAYA UKENI | SHOMBO YA SAMAKI KWA MJAMZITO NA KIPINDI CHA UJAUZITO!
KUTOKWA NA UCHAFU WA NJANO UKENI KWA MJAMZITO NI UGONJWA AMBAO HUSABABISHWA NA BAKTERIA. UGONJWA HUU HUITWA BACTERIAL VAGINOSIS.Bacterial Vaginosis husababisha na Bakteria aina ya Garnerella Vaginalis ambaye huvamia Ukeni
NJIA KUU MBILI ZA KUPATA MIMBA YA MAPACHA KWA 20% – 40%.
Endapo unahitaji kupata Mimba ya Mapacha na huna visababishi au vichochezi vya kupata Mimba ya Mapacha vilivyotajwa hapo chini Basi fanya Mambo haya mawili itaongeza uwezekano wa kupata Mimba ya
Je Dalili za Mimba ya Mapacha pekee huweza kuonesha kuwa una Mimba ya Mapacha au Lah?
Dalili za Mimba ya Mapacha huweza kuashiria kuwa una Mimba ya Mapacha, Lakini ikumbukwe kwamba Dalili za Mimba hiyo pekee hazitoshelezi kuweza kuonesha wazi kuwa una Mimba ya Mapacha kwa
ONGEZEKO LA UZITO KWA MJAMZITO MWENYE MIMBA YA MAPACHA.
Uzito wa mama Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha hutofautiana na Mjamzito mwenye Mimba ya mtoto mmoja kwa kiasi kikubwa Sana, hivyo endepo Mjamzito akiwa na Mimba ya Mapacha anahitaji kuongezeka
ULAJI WA UDONGO KWA MJAMZITO
Ulaji wa Udongo kwa Mjamzito ni hali ya kawaida na hujumuisha asilimia 20 ya Wajawazito wote Duniani, Mjamzito anaweza kupata tatizo hili katika Miezi Mitatu ya mwanzo ya Ujauzito, Japokuwa
Je Mjamzito mwenyewe Mimba ya Mapacha hutakiwa kujifungua Mimba ikifikisha wiki ngapi?
Kuna aina nyingi sana za Mapacha lakini kuna aina kuu 3 za Mapacha ambazo ni kama zifuatazo;-1. Mapacha wasio wa kufanana / Fraternal TwinsHujumuisha 80% ya Mapacha wote katika Jamii,Hutokea