Vyakula Muhimu Kwa Mama aliyejifungua kwa Upasuaji!
Kujifungua kwa Upasuaji (Caesarean delivery) ni upasuaji mkubwa kama upasuaji mwingine wa Tumbo, japokuwa wakati mwingine utumbo huweza kuguswa wakati wa upasuaji huu ila ni mara chache sana. Hivyo Mama
Ulaji wa Bamia kwa Mjamzito
Wajawazito walio wengi hutamani sana kula Bamia katika kipindi cha Ujauzito, ni kweli kwamba Bamia huwa ni muhimu sana katika kipindi cha Ujauzito. Wajawazito wengi huamini kuwa Mjamzito anapotumia Bamia
Matumzi ya Chumvi Kwa Mjamzito Na Madhara Yake!
Chumvi ya Mezani hutengenezwa kwa madini mbalimbali japokuwa kwa kiwango kikubwa Chumvi ya meza huundwa na madini ya aina mbili Sodium(Na) na Chlorine (Cl) ambayo huwa katika mfumo wa chaji
Ulaji wa Papai kwa Mjamzito (Je Mjamzito anaweza kula Papai ktk Ujauzito?).
Mjamzito anaweza kula Papai katika kipindi chote cha Ujauzito bila kupata Madhara yoyote au Mimba yake kuharibika, endapo atafuata tahadhari husika kabla ya kula Tunda hili la Papai. Kumekuwa na