Upungufu wa Damu kwa Mjamzito.
UPUNGUFU WA DAMU KWA MJAMZITO. Kwa kawaida mwanamke ambayo siyo Mjamzito ila mwenye uwezo wa kushika Ujauzito inatakiwa akipimwa Protini iliyomo ndani ya Chembechembe nyekundu za Damu iitwayo Himoglobini iwe
Uzito kwa Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha.
Uzito wa mama Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha hutofautiana na Mjamzito mwenye Mimba ya mtoto mmoja kwa kiasi kikubwa Sana, hivyo endepo Mjamzito akiwa na Mimba ya Mapacha anahitaji kuongezeka