ULAJI WA UDONGO KWA MJAMZITO
Ulaji wa Udongo kwa Mjamzito ni hali ya kawaida na hujumuisha asilimia 20 ya Wajawazito wote Duniani, Mjamzito anaweza kupata tatizo hili katika Miezi Mitatu ya mwanzo ya Ujauzito, Japokuwa
Chanjo ya Ugonjwa wa Pepopunda (Tetanus) kwa Mjamzito!
PEPOPUNDA (TETANUS)Ni ugonjwa ambao huathiri watu wa rika zote na umri wowote ule na Ugonjwa huu huweza kuathiri Mfumo wa fahamu unao husika na Misuli inayojiunganisha na Mifupa ambayo huratibu