DALILI ZA MTOTO KUGEUKA TUMBONI MWA MJAMZITO {CEPHALIC PRESENTATION}.
Mtoto kugeuka (Cephalic Presentation) maana yake Nini?Mtoto kugeuka ni vile Mtoto anapokuwa amegeuza kichwa chini kwenye Nyonga ya Mjamzito na pia Sura ya Mtoto kuangalia nyuma na chogo cha kichwa
JE MTOTO ANAWEZA KUCHEZA TUMBONI MWA MJAMZITO MIMBA IKIWA CHINI YA WIKI 16 AU MIEZI MINNE?
Jambo la kustaajabisha sana kuna baadhi ya Wajawazito wanaweza kuhisi Mtoto kucheza Tumboni mwao mapema zaidi hii ni kwa sababu wahisia kali zaidi na kuhisi mtikisiko Mimba ikiwa na wiki
SABABU ZA KUCHOKA SANA KWA MJAMZITO KTK KIPINDI CHA UJAUZITO (KUISHIWA NGUVU KTK UJAUZITO)
KUCHOKA SANA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO NI HALI YA KAWAIDA KABISA JAPOKUWA KUNA WAKATI UNATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI KWA KUFANYA VIPIMO AU KUMWONA DAKTARI. Kuchoka ktk kipindi cha Ujauzito hutokea zaidi
MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)
MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO HUWEZA KUSABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO: KUMBUKA:Usinunue Dawa za maumivu bila idhini ya Daktari kwa sababu dawa nyingi za maumivu huwa hazitumiki kwa Mjamzito au katika
JE KIPORO CHA CHAKULA MJAMZITO ANARUHUSIWA KULA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO?
KIPORO (LEFTOVERS) ni chakula ambacho kimebaki au masalia ya chakula baada ya mtu kula chakula alicho kiandaa katika kipindi fulani inawezekana Jioni, Mchana na ahsubuhi! Vile vile hutegemeana na aina
JE CHOO CHEUSI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?
Kwa kawaida rangi ya Choo cha Mwanadamu huwa na rangi ya kahaiwa (Brown), lakini baadhi ya sababu huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito, Choo cheusi kwa
Je Mjamzito anaweza kunywa energy drinks(Vinywaji vya energy)??Madhara ya Vinywaji vya energy kwa Mjamzito!
Mjamzito unatakiwa kutumia Vinywaji vyenye caffeine kwa tahadhari kubwa sana. Caffeine hupatikana kwenye Vyakula kama Energy drinks, Chocolate, Kahawa, Chai, Soda aina ya Coca-Cola au Pepsi. Kutokana na ACOG, Mjamzito
POMBE NA MJAMZITO| ATHARI ZA POMBE KWA MJAMZITO.
Hakuna muda maalum wa kunywa Pombe kwa 🤰 Hakuna kiasi maalum Cha Pombe kwa 🤰 Hakuna aina ya fulani ya kileo au Pombe anayoruhusiwa 🤰 Pombe aina yoyote iwe Wine,
JE MJAMZITO ANAWEZA KUNYWA MAZIWA AU MTINDI?
Jibu: Ndio, Mjamzito anaweza kutumia Maziwa au Zao lolote litokanalo na Maziwa bila shida yoyote kwa Mjamzito. Isipokuwa tuu Mjamzito haruhusiwi kunywa Maziwa au Zao lolote lililotokana na Maziwa ambayo
UBUYU KWA MJAMZITO (BAOBAB FRUIT IN PREGNANCY)
FAIDA ZA UBUYU KWA MJAMZITO NI ZIPI?UBUYU(BAOBAB FRUIT) ni Tunda litakanalo na mti uitwao Mbuyu kisayansi unaitwa Adansonia digitata. Jamii ya Miti hii hupatikana ukanda wa Savanna! Africa Mti huu