MJAMZITO ANARUHUSIWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA MPAKA LINI?
Tendo la Ndoa ni Mojawapo ya starehe ambayo Mwanadamu alipewa na mwenyezi Mungu.Japokuwa zaidi ya 50% ya Wajawazito kupunguza hamu ya kushiriki Tendo hilo katika kipindi Cha Ujauzito ukilinganisha na
MIMBA ZABIBU
MIMBA ZABIBU Hii ni aina ya Mimba ambayo hutokea endapo mbegu ya Kiume imerutubisha Yai la Kike ambalo halina kiini au hata kama yai hilo lina kiini basi kiini ambacho
ONGEZEKA LA UZITO KWA MJAMZITO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO.
Uchunguzi wa hivi karibuni uligundua kuwa karibu theluthi moja (32%) ya wanawake walipata kiwango kilichopendekezwa cha uzito wakati wa ujauzito na wanawake wengi walipata uzito nje ya mapendekezo (21% kidogo
MTOTO HUANZA KUCHEZA LINI KATIKA TUMBO LA MJAMZITO.
Kwa kawaida akina Mama wajawazito huwezi kuhisi kucheza kwa mtoto tumboni katika umri tofauti tofauti kulingana Mama Mjamzito husika. 1. Mama Mjamzito ambaye hakuwahi kujifungua kwa maana kwamba Mimba yake
Chanjo ya Ugonjwa wa Pepopunda (Tetanus) kwa Mjamzito!
PEPOPUNDA (TETANUS)Ni ugonjwa ambao huathiri watu wa rika zote na umri wowote ule na Ugonjwa huu huweza kuathiri Mfumo wa fahamu unao husika na Misuli inayojiunganisha na Mifupa ambayo huratibu