Category : MIMBA/UJAUZITO

Uchungu usio halisi kwa Mjamzito(False labor).

Uchungu usio halisi kwa Mjamzito(False labor).

Uchungu usiohalisi ni maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo hubana na kuachia ambayo Mjamzito anaweza kupata katika kipindi cha Ujauzito. Maumivu ya kubana na kuachia huweza kuanza miezi mitatu

Continue reading

Mfungo/Kufunga kwa Mjamzito.

Mfungo/Kufunga kwa Mjamzito.

Mjamzito anaruhusiwa kufunga katika kipindi cha Ujauzito kama akina Mama wengine wasio Wajawazito? Jibu ni HAPANA!!!, MJAMZITO HURUSIWI KABISA KUFUNGA AU KUFANYA MFUNGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO WAKO, KUTOKANA NA

Continue reading

Vyakula  Muhimu Kwa Mama aliyejifungua kwa Upasuaji!

Vyakula Muhimu Kwa Mama aliyejifungua kwa Upasuaji!

Kujifungua kwa Upasuaji (Caesarean delivery) ni upasuaji mkubwa kama upasuaji mwingine wa Tumbo, japokuwa wakati mwingine utumbo huweza kuguswa wakati wa upasuaji huu ila ni mara chache sana. Hivyo Mama

Continue reading

Matunda Hatari kwa Mjamzito na ktk Kipindi cha Ujauzito!.

Matunda Hatari kwa Mjamzito na ktk Kipindi cha Ujauzito!.

Mjamzito anaweza kula Matunda ya aina nyingi sana katika kipindi cha Ujauzito wake, Pamoja na kwamba Mjamzito anaweza kula Matunda karibia aina zote, yako baadhi ya Matunda inasemekana huweza kuwa

Continue reading

Ulaji wa Bamia kwa Mjamzito

Ulaji wa Bamia kwa Mjamzito

Wajawazito walio wengi hutamani sana kula Bamia katika kipindi cha Ujauzito, ni kweli kwamba Bamia huwa ni muhimu sana katika kipindi cha Ujauzito. Wajawazito wengi huamini kuwa Mjamzito anapotumia Bamia

Continue reading

Matumzi ya Chumvi Kwa Mjamzito Na Madhara Yake!

Matumzi ya Chumvi Kwa Mjamzito Na Madhara Yake!

Chumvi ya Mezani hutengenezwa kwa madini mbalimbali japokuwa kwa kiwango kikubwa Chumvi ya meza huundwa na madini ya aina mbili Sodium(Na) na Chlorine (Cl) ambayo huwa katika mfumo wa chaji

Continue reading

MWISHO LINI KUFANYA MAPENZI/TENDO LA NDOA KWA MJAMZITO.

MWISHO LINI KUFANYA MAPENZI/TENDO LA NDOA KWA MJAMZITO.

Tendo la Ndoa ni mojawapo ya starehe muhimu sana kwa afya ya mwanadamu vile vile huongeza uimara wa mahusiano baina ya mke na Mume, japokuwa Tendo la Ndoa katika kipindi

Continue reading

HOMA YA MANJANO KWA MTOTO MCHANGA.

Watoto wachanga walio wengi wanapokuwa wamezaliwa hususani wiki ya 1 tu ya maisha yao huwa na Unjano kwenye macho yao au kwenye ngozi zao. Hali hii ya Unjano wa Macho

Continue reading

Kujifungua Mtoto Mkubwa (Big Baby) Kilo 4 au Zaidi.

Kujifungua Mtoto Mkubwa (Big Baby) Kilo 4 au Zaidi.

Mtoto Mkubwa (Macrosomia) ni Mtoto mchanga anayezaliwa na kilo 4 au zaidi, wakati mwingine Mtoto aliyeko Tumboni mwa Mjamzito huweza kuwa na kilo nyingi kuliko umri wa Mimba (Large for

Continue reading

Je Uke Kujamba kwa Mwanamke husababishwa na Nini? (Uke wa Mwanamke Kujamba).

Je Uke Kujamba kwa Mwanamke husababishwa na Nini? (Uke wa Mwanamke Kujamba).

Uke Kujamba ni hali ya kutoka Gesi au Upepo wenye sauti kutoka kwenye Uke wa Mwanamke ambayo huweza kutokea wakati wa kufanya Tendo la Ndoa au Ngono, Mazoezi, Kutembea na

Continue reading