Kidonda cha Upasuaji wa Uzazi Kutopona!
Kidonda cha Upasuaji wa Uzazi ni Kidonda ambacho hutokea baada ya kukatwa kwa tumbo sehemu ya chini ya Kitovu kwa ajili kutoa Mtoto kutoka kwa mjamzito endapo mjamzito ameshindwa kujifungua
Je Macho mekundu kwa Kichanga husababishwa na nini? (Subconjunctival Hemorrhage)
Hali ya Kichanga kuwa na Macho mekundu muda mfupi tokea kuzaliwa ni kawaida haswa kwa Vichanga walio zaliwa kwa njia ya kawaida ila kwa njia za usaidizi kitalaam huitwa Subconjuctival
Hedhi ya Kichanga wa Kike/Kutokwa Damu Ukeni Kwa Kichanga wa Kike.
Hedhi ya Mtoto Mchanga wa Kike (Neonatal Uterine Bleeding), Hali hii huitwa hedhi ya Uongo Kwa Watoto Wachanga wa Kike ambayo hutokea ndani ya Wiki 1 toke kuzaliwa kwao, Hii
Upele wa Joto kwa Mtoto Mchanga | Vipele vya Joto Kwa Mtoto Mchanga (Miliaria).
Vipele vya Joto ni Ugonjwa wa kawaida wa ngozi unaosababishwa na kuzibwa na/au kuvimba kwa mifereji inayopitisha jasho kutoka kwenye tezi za Jasho, wakati mwingine huitwa Upele wa jasho. Upele
NGIRI YA KITOVU KWA MTOTO MCHANGA (UMBILICAL HERNIA)
Ngiri ya Kitovu ni uwazi usio wa kawaida kwenye Kitovu ambao huweza kuruhusu tishu au Kiungo kutoka ndani ya tumbo (Utumbo na nk) na kuingia kwa wakati fulani fulani kwa
Homa kwa Mchanga Wa Umri Chini ya Miezi 3 na Mtoto wa Umri chini ya Mwaka 1.
Homa ni dalili ambayo huhusisha kuongezeka kwa Joto la Mwili wa Mtoto Mchanga, Joto la kuanzia 38⁰Centigrade au 100.4⁰ Fahrenheit kwenda juu humaanisha homa kwa Mtoto Mchanga. Joto la kawaida
HOMA YA MANJANO KWA MTOTO MCHANGA.
Watoto wachanga walio wengi wanapokuwa wamezaliwa hususani wiki ya 1 tu ya maisha yao huwa na Unjano kwenye macho yao au kwenye ngozi zao. Hali hii ya Unjano wa Macho
KITOVU CHA MTOTO MCHANGA NYUMBANI, {JINSI YA KUTUNZA KITOVU CHA MTOTO MCHANGA.}
Kitovu cha Mtoto Mchanga ni Kovu lililopo sehemu ya katikati ya Tumbo la Mtoto Mchanga ambayo huwa ina bakia baada ya kukatwa kwa Mrija punde tu baada ya Mtoto Mchanga
KUTOKWA MAZIWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO!
Kutokwa na Maziwa au Maji maji kwenye matiti ktk kipindi cha Ujauzito. Wajawazito wengi huwa wanapata hali ya kutokwa Maziwa au Maji maji ktk kipindi cha Ujauzito na kabla ya
JINSI YA KUNYONYESHA MTOTO NA FAIDA ZAKE!
KUNYONYESHA hii ndio njia bora ya kumpa Maziwa yako kama Chakula kwa Mtoto wako Mchanga ili aweze kukua Kiakili na maendeleo yake kiafya. Kulingana na Shirika la Afya Duniani(WHO) na