Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?, Na suluhisho lake ni lipi?
Kwa kawaida Kutokana na Mabadiliko mbalimbali ya Kipindi cha Ujauzito, Mjamzito anaweza kuwa na Dalili za kuwa na Maumivu ya Mwili ikiwemo Maumivu ya Mbavu inawezekana Mbavu za Kushoto,Kulia au
Je Mjamzito anaweza kupata Hedhi?
Je ni kweli kwamba unaweza kupata Hedhi katika kipindi cha Ujauzito? Hapana!Ukweli ni kwamba mara baada ya kupata Ujauzito au Mimba huwezi kupata Hedhi, Baadhi ya Wajawazito hususani wale ambao
Preeclampsia and Eclampsia
Preeclampsia is new high blood pressure or worsening of existing high blood pressure that is accompanied by excess protein in the urine and that develops after the 20th week of pregnancy. Eclampsia is
Je ni Mambo gani hufanya Mtoto kutogeuka Tumboni mwa Mjamzito??
Mtoto hugeuka yaani hugeuza chini Mimba inapofikisha wiki 32 hadi wiki 36 mabadiliko haya huwa ya asili, Mtoto anaweza kuwa ametanguliza Matako au Makalio pamoja na Miguu Mimba ikiwa haijafikisha
Je kutokwa Damu kipindi cha Ujauzito ni hatari? | Je unatokwa Damu wakati wa Ujauzito?? Fanya hivi!.
Je kutokwa na Damu kipindi cha Ujauzito ni dalili ya hatari?Ndio,Endapo Mimba yako ina umri wa chini ya wiki 28 sawa na miezi 7 na unatokwa na Damu hata kama
MJAMZITO HUTAKIWI KUMEZA SP ZA MALARIA MIEZI MITATU YA MWANZONI MWA UJAUZITO!
Sulfadoxine-Pyrimethamine (SP) ni dawa za Malaria hupatikana kwa Jina la Fansidar au Orodar ambazo hutolewa kwa Wajawazito kuanzia Mimba inapofikisha Miezi mi4 kwenda juu kulingana na andiko la mwaka 2012
Ugonjwa wa Fangasi Ukeni kwa Mjamzito na Matibabu yake! (VAGINA CANDIDIASIS / VULVOVAGINAL CANDIDIASIS (MONILIASIS).
Fangasi za Ukeni kwa Wanawake huwa ni Ugonjwa ambao unawapata kwa kiasi kikubwa (40%) haswa baada ya kubarehe hadi kipindi cha ukomo wa wanawake kushika ujauzito(Miaka 12 – 45). Fangasi
JINSI YA KUNYONYESHA MTOTO NA FAIDA ZAKE!
KUNYONYESHA hii ndio njia bora ya kumpa Maziwa yako kama Chakula kwa Mtoto wako Mchanga ili aweze kukua Kiakili na maendeleo yake kiafya. Kulingana na Shirika la Afya Duniani(WHO) na
BRIGHTEN OVUM (ANEMBRYONIC PREGNANCY)
BRIGHTEN OVUM and ANEMBRYONIC PREGNANCY can be used interchangeably, this is the type of Pregnancy that occurs after a fertilized Ovum that divides and fails to grow properly of the
MIMBA ISIYOKUWA NA KIINI (BRIGHTEN OVUM).
Mimba isiyo na Kiini ni aina ya Mimba ambayo hutokea baada ya Yai la kike lilorutubishwa ambalo hugawanyika na kushindwa kufanyika kwa Kiini ipasavyo ambapo huweza kujishikiza kwenye ukuta wa