Jinsi ya kupunguza Mate Mdomoni kwa Mjamzito (Mate Mdomoni kwa Mjamzito).
Ptyalism Gravidarum ni hali ya kuwa na Mate mengi Mdomoni kwa Mama Kijacho ambapo jina lingine kitaalamu huitwa majina mengine ni kama Hypersalivation au Sialorrhea. Mjamzito mwenye changamoto hii huweza
JE MJAMZITO ANAWEZA KUENDESHA GARI? (UENDESHAJI WA GARI KWA MJAMZITO)
Mjamzito unaweza kuendesha Gari kama kawaida wakati wa Ujauzito wako,ili mradi tu uko vizuri na unaweza kutumia gari kwa usalama. Mjamzito unaweza kuendesha gari Mwanzoni mwa Ujauzito mpaka Mwishoni mwa
Je! Mjamzito anaweza kutumia Kahawa(Coffee) ktk kipindi cha Ujauzito? {Matumizi ya Kahawa kwa Mjamzito}.
Jibu: Ndio! Mjamzito ili uweze kutumia Kahawa ni lazima uwe mwangalifu na utumie kwa tahadhari kubwa kwa sababu Mjamzito hatakiwi kutumia zaidi 200mg za caffeine ambayo zipo ndani ya Kahawa
KUINAMA KWA MJAMZITO (JE MJAMZITO ANAWEZA KUINAMA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)?
Ukweli ni kwamba Mjamzito anaweza kuina katika kipindi chote cha Ujauzito bila shida yoyote ile katika Ujauzito wake, isipokuwa tuu kuna namna nzuri ya kuinama katika kipindi cha Ujauzito. Mjamzito
FAIDA ZA KULA TENDE KWA MJAMZITO NI ZIPI?{JE KUNA FAIDA GANI ZA TENDE KWA MJAMZITO}?
Mjamzito anapotumia Tende ktk Ujauzito wake huweza kumletea faida nyingi Sana, Tende huweza kutumika kipindi chochote cha Ujauzito wako. Zifuatazo ni faida za kutumia Tende kwa Mjamzito; Mjamzito anayetumia Tende
MATUMIZI YA ASALI KWA MJAMZITO NA FAIDA ZAKE? {TAHADHARI ZA ASALI KWA MJAMZITO}.
Asali ni Mojawapo la zao litokanalo na nyuki, Mwanadamu hutumia Asali katika matumizi mbalimbali, baadhi ya watu hutumia Asali kwa ajili ya kukausha na kuponya vidonda lakini pia sayansi inathibitisha
DALILI ZA HATARI KWA MJAMZITO KTK KIPINDI CHA UJAUZITO, WAKATI WA KUJIFUNGUA NA BAADA YA KUJIFUNGUA
Kipindi cha Ujauzito ni kipindi ambacho unatakiwa kuwa makini zaidi kwa sababu umebeba kiumbe hai Tumboni mwako, kuna baadhi ya dalili unapozipata unatakiwa kuwa makini ili kuhakikisha wewe mwenyewe Mjamzito
DALILI ZA MTOTO KUGEUKA TUMBONI MWA MJAMZITO {CEPHALIC PRESENTATION}.
Mtoto kugeuka (Cephalic Presentation) maana yake Nini?Mtoto kugeuka ni vile Mtoto anapokuwa amegeuza kichwa chini kwenye Nyonga ya Mjamzito na pia Sura ya Mtoto kuangalia nyuma na chogo cha kichwa
JE MTOTO ANAWEZA KUCHEZA TUMBONI MWA MJAMZITO MIMBA IKIWA CHINI YA WIKI 16 AU MIEZI MINNE?
Jambo la kustaajabisha sana kuna baadhi ya Wajawazito wanaweza kuhisi Mtoto kucheza Tumboni mwao mapema zaidi hii ni kwa sababu wahisia kali zaidi na kuhisi mtikisiko Mimba ikiwa na wiki
SABABU ZA KUCHOKA SANA KWA MJAMZITO KTK KIPINDI CHA UJAUZITO (KUISHIWA NGUVU KTK UJAUZITO)
KUCHOKA SANA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO NI HALI YA KAWAIDA KABISA JAPOKUWA KUNA WAKATI UNATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI KWA KUFANYA VIPIMO AU KUMWONA DAKTARI. Kuchoka ktk kipindi cha Ujauzito hutokea zaidi