Homa kwa Mchanga Wa Umri Chini ya Miezi 3 na Mtoto wa Umri chini ya Mwaka 1.
Homa ni dalili ambayo huhusisha kuongezeka kwa Joto la Mwili wa Mtoto Mchanga, Joto la kuanzia 38⁰Centigrade au 100.4⁰ Fahrenheit kwenda juu humaanisha homa kwa Mtoto Mchanga. Joto la kawaida
Matumzi ya Chumvi Kwa Mjamzito Na Madhara Yake!
Chumvi ya Mezani hutengenezwa kwa madini mbalimbali japokuwa kwa kiwango kikubwa Chumvi ya meza huundwa na madini ya aina mbili Sodium(Na) na Chlorine (Cl) ambayo huwa katika mfumo wa chaji
MWISHO LINI KUFANYA MAPENZI/TENDO LA NDOA KWA MJAMZITO.
Tendo la Ndoa ni mojawapo ya starehe muhimu sana kwa afya ya mwanadamu vile vile huongeza uimara wa mahusiano baina ya mke na Mume, japokuwa Tendo la Ndoa katika kipindi
HOMA YA MANJANO KWA MTOTO MCHANGA.
Watoto wachanga walio wengi wanapokuwa wamezaliwa hususani wiki ya 1 tu ya maisha yao huwa na Unjano kwenye macho yao au kwenye ngozi zao. Hali hii ya Unjano wa Macho
Kujifungua Mtoto Mkubwa (Big Baby) Kilo 4 au Zaidi.
Mtoto Mkubwa (Macrosomia) ni Mtoto mchanga anayezaliwa na kilo 4 au zaidi, wakati mwingine Mtoto aliyeko Tumboni mwa Mjamzito huweza kuwa na kilo nyingi kuliko umri wa Mimba (Large for
Je Uke Kujamba kwa Mwanamke husababishwa na Nini? (Uke wa Mwanamke Kujamba).
Uke Kujamba ni hali ya kutoka Gesi au Upepo wenye sauti kutoka kwenye Uke wa Mwanamke ambayo huweza kutokea wakati wa kufanya Tendo la Ndoa au Ngono, Mazoezi, Kutembea na
KITOVU CHA MTOTO MCHANGA NYUMBANI, {JINSI YA KUTUNZA KITOVU CHA MTOTO MCHANGA.}
Kitovu cha Mtoto Mchanga ni Kovu lililopo sehemu ya katikati ya Tumbo la Mtoto Mchanga ambayo huwa ina bakia baada ya kukatwa kwa Mrija punde tu baada ya Mtoto Mchanga
Ulaji wa Papai kwa Mjamzito (Je Mjamzito anaweza kula Papai ktk Ujauzito?).
Mjamzito anaweza kula Papai katika kipindi chote cha Ujauzito bila kupata Madhara yoyote au Mimba yake kuharibika, endapo atafuata tahadhari husika kabla ya kula Tunda hili la Papai. Kumekuwa na
Kwikwi Kwa Mtoto Mchanga
Kwikwi ni hali ambayo hutokea endapo Milango (Vocal Cords) iliyopo sehemu ya juu ya Koo la hewa inajifunga ghafla na haraka baada ya Msuli waa upumuaji (Diaflamu) kujikunja wakati mtu
Madhara ya MAINI na “VITAMIN A” kwa Mjamzito ni yapi?
Mojawapo ya Nyama pendwa kwa Wajawazito wengi ni nyama ya Maini inawezekana ni Maini ya Ng’ombe, Nguruwe, Mbuzi, Kondoo, Kuku, Bata na nk, Nyama ya Maini ya Wanyama mbalimbali huwa