MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)

MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)

MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)

MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO HUWEZA KUSABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO:

  1. Ongezeko la homoni ktk Ujauzito.
  2. Upungufu wa Damu ktk Ujauzito.
  3. Msongo wa mawazo/Stress kwa Mjamzito.
  4. Kuchoka sana.
  5. Kukosa usingizi.
  6. Kuacha kutumia vyakula vyenye Caffeine.
  7. Matumizi ya Dawa fulani ktk Ujauzito.
  8. Kutapika sana ktk Ujauzito.
  9. Mafua ktk kipindi cha Ujauzito.
  10. Maumivu ya kipanda uso kwa Mjamzito.
  11. Njaa kali ktk kipindi cha Ujauzito.
  12. Presha ya Ujauzito.

KUMBUKA:
Usinunue Dawa za maumivu bila idhini ya Daktari kwa sababu dawa nyingi za maumivu huwa hazitumiki kwa Mjamzito au katika kipindi cha Ujauzito wako.

Maumivu ya Kichwa kwa Mjamzito au katika kipindi cha Ujauzito.

Response to "MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)"

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *