Je Mjamzito anaweza kunywa energy drinks(Vinywaji vya energy)??Madhara ya Vinywaji vya energy kwa Mjamzito!
azam energy,energy drink,energy kwa mjamzito,matumizi ya energy kwa mjamzito,Mjamzito kutumia energy drinks,Ukweli kuhusu energy drinks,vinywaji vya energy kwa mjamzito,vyakula hatari kwa mjamzito
CHANGAMOTO ZA UJAUZITO,KABLA YA UJAUZITO,MIEZI MITATU YA KATIKATI,MIEZI MITATU YA MWANZO,MIEZI MITATU YA MWISHONI,MIMBA/UJAUZITO
17 Comments
Mjamzito unatakiwa kutumia Vinywaji vyenye caffeine kwa tahadhari kubwa sana.
Caffeine hupatikana kwenye Vyakula kama Energy drinks, Chocolate, Kahawa, Chai, Soda aina ya Coca-Cola au Pepsi.
Kutokana na ACOG, Mjamzito hutakiwi kuzidisha caffeine kiasi cha 200mg kwa siku.
Endapo utazidisha unaweza kupata madhara.
Madhara ya energy drinks kwa Mama Mjamzito ni kama;
1. Maumivu ya Kichwa.
2. Mapigo ya Moyo kwenda mbio.
3. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati.
4. Kujifungua Mtoto aliyefariki.
5. Kujifungua Mtoto chini ya Uzito
Response to "Je Mjamzito anaweza kunywa energy drinks(Vinywaji vya energy)??Madhara ya Vinywaji vya energy kwa Mjamzito!"
Na kama mimba Iko na mwezi mmoja inaeza toka
Ndio inawezekana kuharibika!
Kama miez miwil je
Okay
Ukinywa azam energy na dawa tatu utapata madhara gani?
Soma vizuri utaelewa
Je Mumbai ya wiki 6 inaweza toka ukinywa energy?
Je kuna madhara gani mtu akifululiza kutoa mimba ,katoa mimba then baada y mwezi tena anatoa nyingine kwa njia ya vidonge?
Boss hatuna ushauri haswa katika suala la Utoaji Mimba?
Ukinywa energy baada ya kufanya mapenzi unaweza usipate ujauzto?
Sijui
Kama mimba mwezi mmoja inaweza toka
sijui
je ukinywa mara moja kwa siku inaleta shida
Soma somo vizuri ndugu
Energy drink inaweza kusababisha mimba ya miezi 6 kutoka?
Soma somo hapo