POMBE NA MJAMZITO| ATHARI ZA POMBE KWA MJAMZITO.

POMBE NA MJAMZITO| ATHARI ZA POMBE KWA MJAMZITO.

POMBE NA MJAMZITO| ATHARI ZA POMBE KWA MJAMZITO.

Hakuna muda maalum wa kunywa Pombe kwa 🤰

Hakuna kiasi maalum Cha Pombe kwa 🤰

Hakuna aina ya fulani ya kileo au Pombe anayoruhusiwa 🤰

Pombe aina yoyote iwe Wine, Ulanzi, Ugimbi, Pombe ya machicha, Mbege, Komoni, Gongo, Kimpumu na nk si salama kwa 🤰

Madhara ya Pombe kwa Mtoto aliyeko Tumboni nimakubwa sana mfano

  1. Kupata Mtoto mwenye Mgongo/Kichwa wazi(NTD).
    na
  2. Mtoto mwenye mwonekano wa usio wa kawaida na Upungufu wa akili (AFSD).

MTOTO ALIYEZALIWA NA MJAMZITO MNYWA POMBE HUWA{FETAL ALCOHOL SYNDROME} NA SIFA ZIFUATAZO:

  1. Kichwa kidogo kuliko kawaida.
  2. Macho madogo kuliko kawaida.
  3. Sura bapa.
  4. Mdomo wa juu huwa mwembamba kuliko kawaida.
  5. Pua fupi.
  6. Taya duni na nk
Sifa za Mtoto aliyezaliwa na mnywa Pombe

No comments.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *