Ushindi dhidi ya Upungufu wa Damu

Ushindi dhidi ya Upungufu wa Damu

Sale!

Original price was: Sh 20,000.Current price is: Sh 15,000.

Ushindi dhidi ya Upungufu wa Damu kitabu hiki kitakusaidia kuongeza Damu wakati wa Ujauzito na baada ya Kujifungua

Description

KWA NINI USOME KITABU HIKI?

Mjamzito inawezekana unajiuliza maswali kwamba “Kwa nini usome hiki tabu hiki?”

Jibu!

Ni muhimu usome kitabu hiki kwa sababu kimebeba siri nzito za kukufanya uweze kuongeza damu yako katika kipindi chote cha ujauzito wako.

Mbinu zilizopo katika kitabu hiki zitakusaidia damu yako isipungue katika kipindi chote cha ujauzito wako,

Endapo wewe ni mvivu wa kusoma basi ni vema ukisome kitabu hiki angalau ukurasa mmoja kila siku katika kipindi cha ujauzito wako.

Hizi ni baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wajawazito waliotumia mbinu zilizomo katika kitabu hiki, waliopo kwende kundi la whatsapp la Dr. Mwanyika.

No comments.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *