Archives : September, 2022

Jinsi ya kupunguza Mate Mdomoni kwa Mjamzito (Mate Mdomoni kwa Mjamzito).

Jinsi ya kupunguza Mate Mdomoni kwa Mjamzito (Mate Mdomoni kwa Mjamzito).

Ptyalism Gravidarum ni hali ya kuwa na Mate mengi Mdomoni kwa Mama Kijacho ambapo jina lingine kitaalamu huitwa majina mengine ni kama Hypersalivation au Sialorrhea. Mjamzito mwenye changamoto hii huweza

Continue reading

JE MJAMZITO ANAWEZA KUENDESHA GARI? (UENDESHAJI WA GARI KWA MJAMZITO)

JE MJAMZITO ANAWEZA KUENDESHA GARI? (UENDESHAJI WA GARI KWA MJAMZITO)

Mjamzito unaweza kuendesha Gari kama kawaida wakati wa Ujauzito wako,ili mradi tu uko vizuri na unaweza kutumia gari kwa usalama. Mjamzito unaweza kuendesha gari Mwanzoni mwa Ujauzito mpaka Mwishoni mwa

Continue reading

Je! Mjamzito anaweza kutumia Kahawa(Coffee) ktk kipindi cha Ujauzito? {Matumizi ya Kahawa kwa Mjamzito}.

Je! Mjamzito anaweza kutumia Kahawa(Coffee) ktk kipindi cha Ujauzito? {Matumizi ya Kahawa kwa Mjamzito}.

Jibu: Ndio! Mjamzito ili uweze kutumia Kahawa ni lazima uwe mwangalifu na utumie kwa tahadhari kubwa kwa sababu Mjamzito hatakiwi kutumia zaidi 200mg za caffeine ambayo zipo ndani ya Kahawa

Continue reading