Archives : May 23rd, 2022

MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)

MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO (MAUMIVU YA KICHWA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO)

MAUMIVU YA KICHWA KWA MJAMZITO HUWEZA KUSABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO: KUMBUKA:Usinunue Dawa za maumivu bila idhini ya Daktari kwa sababu dawa nyingi za maumivu huwa hazitumiki kwa Mjamzito au katika

Continue reading

JE KIPORO CHA CHAKULA MJAMZITO ANARUHUSIWA KULA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO?

JE KIPORO CHA CHAKULA MJAMZITO ANARUHUSIWA KULA KTK KIPINDI CHA UJAUZITO?

KIPORO (LEFTOVERS) ni chakula ambacho kimebaki au masalia ya chakula baada ya mtu kula chakula alicho kiandaa katika kipindi fulani inawezekana Jioni, Mchana na ahsubuhi! Vile vile hutegemeana na aina

Continue reading

JE CHOO CHEUSI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?

JE CHOO CHEUSI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?

Kwa kawaida rangi ya Choo cha Mwanadamu huwa na rangi ya kahaiwa (Brown), lakini baadhi ya sababu huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito, Choo cheusi kwa

Continue reading