Je Mjamzito anaweza kunywa energy drinks(Vinywaji vya energy)??Madhara ya Vinywaji vya energy kwa Mjamzito!

Mjamzito unatakiwa kutumia Vinywaji vyenye caffeine kwa tahadhari kubwa sana.

Caffeine hupatikana kwenye Vyakula kama Energy drinks, Chocolate, Kahawa, Chai, Soda aina ya Coca-Cola au Pepsi.

Kutokana na ACOG, Mjamzito hutakiwi kuzidisha caffeine kiasi cha 200mg kwa siku.
Endapo utazidisha unaweza kupata madhara.

Madhara ya energy drinks kwa Mama Mjamzito ni kama;

1. Maumivu ya Kichwa.

2. Mapigo ya Moyo kwenda mbio.

3. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati.

4. Kujifungua Mtoto aliyefariki.

5. Kujifungua Mtoto chini ya Uzito

Video inayohusiana na madhara ya vinywaji vya energy kwa Mjamzito.

Response to "Je Mjamzito anaweza kunywa energy drinks(Vinywaji vya energy)??Madhara ya Vinywaji vya energy kwa Mjamzito!"

  • Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *