Archives : February, 2022

POMBE NA MJAMZITO| ATHARI ZA POMBE KWA MJAMZITO.

POMBE NA MJAMZITO| ATHARI ZA POMBE KWA MJAMZITO.

Hakuna muda maalum wa kunywa Pombe kwa 🤰 Hakuna kiasi maalum Cha Pombe kwa 🤰 Hakuna aina ya fulani ya kileo au Pombe anayoruhusiwa 🤰 Pombe aina yoyote iwe Wine,

Continue reading

JE MJAMZITO ANAWEZA KUNYWA MAZIWA AU MTINDI?

Jibu: Ndio, Mjamzito anaweza kutumia Maziwa au Zao lolote litokanalo na Maziwa bila shida yoyote kwa Mjamzito. Isipokuwa tuu Mjamzito haruhusiwi kunywa Maziwa au Zao lolote lililotokana na Maziwa ambayo

Continue reading

UBUYU KWA MJAMZITO (BAOBAB FRUIT IN PREGNANCY)

UBUYU KWA MJAMZITO (BAOBAB FRUIT IN PREGNANCY)

FAIDA ZA UBUYU KWA MJAMZITO NI ZIPI?UBUYU(BAOBAB FRUIT) ni Tunda litakanalo na mti uitwao Mbuyu kisayansi unaitwa Adansonia digitata. Jamii ya Miti hii hupatikana ukanda wa Savanna! Africa Mti huu

Continue reading

MJAMZITO UNATAKIWA KUFANYA ULTRASOUND MARA NGAPI NA LINI KTK UJAUZITO WAKO?

MJAMZITO UNATAKIWA KUFANYA ULTRASOUND MARA NGAPI NA LINI KTK UJAUZITO WAKO?

Kulingana na ACOG Mwanamke Mjamzito anatakiwa kufanya Ultrasound angalau Mara mbili katika kipindi chote cha Ujauzito endapo Mimba yake haina shida yoyote! Mjamzito ambaye Mimba yake inachangamoto fulani mfano; kutokwa

Continue reading