KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HARUFU MBAYA UKENI | SHOMBO YA SAMAKI KWA MJAMZITO NA KIPINDI CHA UJAUZITO!
KUTOKWA NA UCHAFU WA NJANO UKENI KWA MJAMZITO NI UGONJWA AMBAO HUSABABISHWA NA BAKTERIA. UGONJWA HUU HUITWA BACTERIAL VAGINOSIS.Bacterial Vaginosis husababisha na Bakteria aina ya Garnerella Vaginalis ambaye huvamia Ukeni
MADHARA YA SODA KWA MJAMZITO
Unywaji Soda kwa Mjamzito ambao usio wa mara kwa mara hauna shida yoyote kwa Mjamzito asiye na Ugonjwa wa Kisukari au Presha!. Unywaji wa Soda wa mara kwa mara au