Archives : January, 2022

KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HARUFU MBAYA UKENI | SHOMBO YA SAMAKI KWA MJAMZITO NA KIPINDI CHA UJAUZITO!

KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HARUFU MBAYA UKENI | SHOMBO YA SAMAKI KWA MJAMZITO NA KIPINDI CHA UJAUZITO!

KUTOKWA NA UCHAFU WA NJANO UKENI KWA MJAMZITO NI UGONJWA AMBAO HUSABABISHWA NA BAKTERIA. UGONJWA HUU HUITWA BACTERIAL VAGINOSIS.Bacterial Vaginosis husababisha na Bakteria aina ya Garnerella Vaginalis ambaye huvamia Ukeni

Continue reading

MADHARA YA SODA KWA MJAMZITO

MADHARA YA SODA KWA MJAMZITO

Unywaji Soda kwa Mjamzito ambao usio wa mara kwa mara hauna shida yoyote kwa Mjamzito asiye na Ugonjwa wa Kisukari au Presha!. Unywaji wa Soda wa mara kwa mara au

Continue reading

NJIA KUU MBILI ZA KUPATA MIMBA YA MAPACHA KWA 20% – 40%.

NJIA KUU MBILI ZA KUPATA MIMBA YA MAPACHA KWA 20% – 40%.

Endapo unahitaji kupata Mimba ya Mapacha na huna visababishi au vichochezi vya kupata Mimba ya Mapacha vilivyotajwa hapo chini Basi fanya Mambo haya mawili itaongeza uwezekano wa kupata Mimba ya

Continue reading

Je Dalili za Mimba ya Mapacha pekee huweza kuonesha kuwa una Mimba ya Mapacha au Lah?

Je Dalili za Mimba ya Mapacha pekee huweza kuonesha kuwa una Mimba ya Mapacha au Lah?

Dalili za Mimba ya Mapacha huweza kuashiria kuwa una Mimba ya Mapacha, Lakini ikumbukwe kwamba Dalili za Mimba hiyo pekee hazitoshelezi kuweza kuonesha wazi kuwa una Mimba ya Mapacha kwa

Continue reading

JE ULTRASOUND INA MADHARA KWA MJAMZITO AU MTOTO ALIYEKO TUMBONI?

JE ULTRASOUND INA MADHARA KWA MJAMZITO AU MTOTO ALIYEKO TUMBONI?

ULTRASOUND(SONOGRAM);Ni Kifaa au Mashine ambayo hutumika kuonesha Taswira au Picha ya Sehemu Fulani ya Mwili wa Binadamu ambayo imeathiriwa au yenye Shida fulani ambapo wa Huduma wa Afya huhitaji kujua

Continue reading