DALILI 30 ZA MIMBA CHANGA (Wiki 2 mpaka Miezi 3 ya Ujauzito)
Mjamzito mwenye Ujauzito wa kuanzia wiki 2 mpaka mwezi mmoja anaweza kuwa na Dalili zifuatazo;
- Kutoona siku zako au Hedhi yako kwa Mjamzito.
- Kupata kichefu chefu na kutapika kwa Mjamzito.
- Kuchoka Sana Mara kwa Mara kwa Mjamzito.
- Kutokwa na Damu kama Matone kwa Mjamzito .
- Kulala Mara kwa Mara kwa Mjamzito
- Kutokwa na Ute mwingi Ukeni kwa Mjamzito.
- Matiti/Maziwa kuuma kwa Mjamzito.
- Kubadilika kwa Harufu kwa Mjamzito.
- Chuchu Kubadilika Rangi na kuwa nyeusi kwa Mjamzito.
- Matiti kuwa makubwa zaidi na kuongezeka Uzito kwa Mjamzito.
- Maumivu ya Tumbo ya kubana na kuachia kwa Mjamzito.
- Maumivu ya Kiunoni kwa Mjamzito.
- Maumuzi ya Mgongoni karibia na kiunoni kwa Mjamzito.
- Mapigo ya Moyo kwenda mbio ktk kipindi cha Ujauzito.
- Kujaa Mate Mdomoni mwa Mjamzito.
- Mdomo kuwa Mchungu kwa Mjamzito.
- Mjamzito kula Udongo.
- Tumbo la Mjamzito kujaa Gesi.
- Kupunguza hamu ya kufanya Tendo la Ndoa ktk kipindi cha Ujauzito.
- Kukojoa Mara kwa Mara katika kipindi cha Ujauzito.
- Kupata kiungulia ktk kipindi cha Ujauzito.
- Mjamzito kuwa na Chunusi Usoni.
- Mjamzito kuwa Mstari Tumboni ambao unatoka sehemu ya chini ya kifuani mpaka kwenye sehemu ya chini ya Kitovu karibia na mfupa wa Kinena.
- Tumbo la Mjamzito kuwa na Michirizi ktk kipindi cha Ujauzito.
- Mjamzito kutokwa na Damu Puani au kwenye Fizi/Meno katika kipindi fulani Cha Ujauzito.
- Baadhi ya Wajawazito hupata Bawasiri au vinyama vinavyokuwepo kwenye njia ya haja kubwa.
- Mjamzito Kupata maumivu ya Kichwa.
- Mjamzito kukosa Usingizi.
- Kubadilika kwa mhemuko au Mudi.
- Tumbo kuwa kubwa na kuongezeka katika kipindi cha Ujauzito Kutokana na ukuaji wa Mtoto Tumboni na nk.
KUMBUKA; Dalili pekee hazitoshi kuonesha kuwa Mjamzito kuna Baadhi ya Magonjwa huwa na Dalili zinazofanana na Baadhi ya Dalili za Ujauzito,
Hivyo ni vema kuweza kufanya kipimo Cha Mimba Cha Mkojo (UPT) endapo unahisi kuwa na Ujauzito.
Kipimo hiki kinapofanyika siku ya 10 au 14 tokea Mimba kutungwa huweza kuonesha Majibu sahihi kwa asilimia 99% na endapo hakikuonesha Mimba na bado unapata Dalili za Mimba unaweza kurudia kipimo hiki siku 3 – 5 tokea ufanye kile kipimo Cha kwanza.
Mkojo wa kutumia ili kupima Mimba ni Mkojo wa ahsubuhi huwa na kiwango kingi Cha Homoni ya HCG ambayo hugunduliwa na kipimo Cha Mkojo (UPT).
Response to "DALILI 30 ZA MIMBA CHANGA (Wiki 2 mpaka Miezi 3 ya Ujauzito)"
Nina miaka hamsini na cjaona miezi 2,nimekua na kiungulia,tumbo kujaa upepo,kuchoka cna na kulala cna na maumivu ya kiuno kama kwamba nitapata damu ya mwezi lalini hamna.Je naeza kua mja mzito kweli hasa na umri wangu
Si rahisi kuwa na Mimba kwani huko nyuma ulikuwa unaingia mwezini kila mwezi?
Nili bebe mimba ikatoka mwenz wa pili mwaka huu mbaka sas sijapata mimba ten na mimb yangu ime alibikika ikiwa ya mwezi mmoj na nusu sas sijui nitakuwa natatizo gan ??
Uliza swali mara moja tu
Mie napata maumivu chini ya tumbo na kiunoni nachoka pia nakuwa nahisi usingizi sana tumbo linajaa gas kichwa kinaniuma pia hlf sijapata hedhi ya mwezi wa 12 …..sijui unanishauli vipi hapo, hlf kitu kingine nakuwa nahisi kama dalili za hedhi lakini sipati ,
naweza nikawa mjamzito kweli?
Pima mimba!
Nmetumia p2 je naweza nkawa mjamzto au hedhi tu imechelewa maana imepitiliza siku 4
Sifahamu ndugu subiri uone itakuwaje
Mimi nimetafuta mtoto kwa miaka 8 mwezi huu sijaingia p nikihesabu ni kama zimepitiliza siku 7 ,nikipima na kipimo cha mimba majibu ni Neg je niko mjamzito au nimepitiliza tu siku mimi jamani.silali kila saa niko chooni naona kama nachizika.
Hauna Mimba labda ni mabadiliko tu ya homoni ndio maana hujapata hedhi.
Sioni siku zangu mpaka Sasa mara ya mwisho nilibeba mimba mwezi was kumi mwaka Jana ikaharibika ila mwaka huu mwezi wa Kwanza niliona siku zangu tarehe kumi na nane je natakiwa nione lini Tena
Sijakuelewa
no mimi naigia p lila mwezi lakin sipat mimba nifanyaje doctor hapo juma niritumia sindano doctor nina miaka 23 naweza kupata mimba
Sijakuelewa
mimi chuchu zinaniuma sanaa,kuvuta na kuwasha sanaaa najikuna mnooo sasa sjui ni dalili ya nin hyo
Soma hapo juu mkuu
Nimepata siku zangu lakini ni matone matone ndio naona wakati wa kujisaidia haja ndogo nikiweka pads Iko nyeupe bado
Imeanza lini!
Nilisex siku ya kumi kwenye mzunguko wangu wa siku 28 je ni hatari ama
Fuattilia video zetu pale youtube kwenye channel ya Dr.Mwanyika
Habari Dr Nina week 6 za ujauzito lakini Sina dalili je Kuna ttz
Kawaida
Ninatatizo la tumbo kujaaa na nilikutana na mwanaume siku saba zilizopita je kunauwezakano wa kuwa nilipata mimba.?
sifahamu
Habari dokta nimepima mimba msitari mmoja ukawa unaonekana kwa mbaaaliiii hadi baadae nikaingia period japo dam hazitoki nying sana sasa sielewi mimba imo au Haimo??
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo
Jmn mm nilifanya mapenzi naumwa na tumbo pia natapika Ila Kuna muda nakuwa na dalili za mimba nikipima Sina mimba Hilo Ni tatizo gani
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo
Naombeni ushauri Nina miezi mitatu Sasa sioni cku zangu na npo kwenye ndoa cjawah kubeba mimba na ndani ya hyo miez mitatu nqpqtq dalili zote za kubleed lakn cbleed naombeni ushauri wenu jaman shida inawezq ikawa ni Nini?
Pole sana ume pima Mimba kuona kama Mjamzito au Lah? kwa Mawasiliano zaidi tuma message whatsApp namba +255629019936
Nimepitisha mwezi mzima sijaona period na nikipima kile kifaa ninachora mistari miwili ila inaandika negative na nina pata dalili za period lakini sion je shida itakuwa nn
Subiri siku 7 usipopata hedhi pima mimba tena
Je dalili za kujuwa kuwa unamimba inachukuwa cku ngapi Ili kujuwa kuwa nipo na mimba
Fuatilia masomo yetu hapa
Mina umri was miaka 20 lkn n mwez mzm huu cjapata kuingia ktk piriod mwanz nilkuwa nahc kichef chef lkn ckuwah kutapika hasta CK 1 j ni mimba au tatizo gn
Pima Mimba kwa Kipimo cha Mkojo
Nimepitiliza week mbili ila tumbo linauma chini ya kitovu sana uwa nackia maumivu sana pia kama kubanwa haja kubwa ila nikienda chooni sipati haja je nifanye nn hio Hali iishe
Mimba ina umri gani?
Mi Nina mimba ya wiki tatu lakini naumwa sana na kiuno na tumbo chini ya kitovu je ni kawaida au Nina shida
Hapana uende hospitali wakufanyie uchunguzi
Ahsante sana umeniondolea wasiwasi
Amina ndugu yangu
Mie natak uliza swali nitajuaje kama nina mimba kama nimetoka kukutan na mumewangu ni kablaaa ya kuingia period au laah ni baada ya zile tareh za period kupita????kipi sahh ni kabla ya kuingia periodi ndo nitajua au laah mpak zile tareh za period zifike afu zipitilizee kipi sahih maan sielewag mie naomben msaada..!🥹🥹🥹
Dada Naomba ufanye kipimo cha Mimba cha Mkojo
Nilishiriki tendo nikiwa kwenye siku zangu Sasa naona kama kiuno kinaniuma Sana na tumbo chin ya kitovu j inaweza kuwa mimba
Hapana
Mimi nina wiki moja toka nimekutenga na mwanaume ila nahisi kuchoka kichwa kinaniuma kiasi kwamba kila muda najihis labda ni mjamzito…lakin je dalili za mimba zinaweza kwel kutokea ndan ya muda mfupi kama huu., Af Jambo jingine uke wangu upo mkavu sana. Cjui kwann
Tafadhari naomba usome posti vizuri ili uelewe
Nmefanya mapenzi siku ya 9 naweza kupata mimba?
Fuatilia masomo yetu kuhusu maswali yako
Nimepitiliza mwezi mzima bila kuona siku zangu na nilipima mimba kile kipimo kikasoma negative sasa je inaweza kuwa ni mimba au?
Soma vizuri hapo juu
abali namke wangu ana mimba ila siku zake zina badilika badilika kila mwezi tatizo linaweza kuw nn
Ana Mimba ila anaona siku zake au?
Mim naumwa tumbo katika ya kitovu kinavuta itakua nin ni mimba au hali ya kawaida
Soma vizuri hapo juu
Cjapata period mwezii huu na nimepima mimba zaidi ya mara mbili cna je tatizo linaweza kuwa nn
Mbadiliko ya Homoni
Ninaumwa kichwa mdomo mchachu kiuno ni kifanya kazi za kuinama kinauma alfajir naisi ovyo ovyo, kifuan kuna uzito mfran kmvile maralia inavokuwa na pumzi nahema hema… Je yaweza kuwa ni dalili ya ujauzito
Uende ukafanyiwe vipimo ndugu
Je kuna uwezekano mwanamke siju ya kumi na moja kupata ujauzito mwenye mzunguko wa siku 28
Ndio
Je unaweza pata mimba bila kuona mabadiliko ya mwil or dalili zozote?
Ndio
Nimepitikiza mwezi mmoja na zaidi pia naumwa na kiuno, tumbo linajaa gesi, nachoka, kiungulia, fangas zinaniwasha inaweza ikawa mimba?
Pima mimba
Naomba kuuliza nimekutana na mume wangu cku ya 12 baada ya period na mbegu za kiume UK’s Hadi cku 4 baada ya hapo nikipata dalili za kuingilia , mara moja kizunguzungu , na tumbo kuuma sana
Baada ya mda nikatokwa na period nyepesi siku 3 na zilibaki cku 4 nifikie mzunguko wangu wa hedhi , je nitakuwa mjamzito ?
Ahsante
Naomba usome hapo juu
Huwa naingia period kila tarehe 9 nilifanya tendo tarehe 4 he naweza nikapata mimba maan mwezi huu nimeingia period lakin Sijielew elew
Sina uhakika na hilo mkuu
Mimi sijapata hedhi yangu mwezi huu japo nilipata dalili za dedhi, na napata kicheguchefu na mda mwingine natapika, nachoka yani sijiskii kufanya kitu na mwili unauma, matiti yanajaa na yanauma sana.
Pima Mimba
Mimi nimekutana na mwanaume siku ya8,baada ya kutoka blid lakini nsumwa mno na miguu kama inawaka moto na mgingo unauma je ntakua na dalili ya ujauzito
Naomba usome somo hilo vyema tafadhari
Mimi sijaon tu siku zang but Sina dalili hata Moja
Endelea kusubiri uona tu
Nina wiki mbili tangu mimba iharibike,Bado sijaiona period nimefanya mapenz bila Kinga naweza kupata ujauzito?
Ndio inawezekana
Samahani naomba msaada wako kunadalili nazion katik mwili wangu maziw yamekuwa makubwa chuchu ngumu tumbo linauma markwamar maumivu ya kawaid tu ila ninachoshindwa kuelew nashangaa nimeona period kabla ya siku swal nikwamb mtu unaweza kuwa na mimba ya wik tatu na ukaona siku zako???
Message whatsapp namba +255629019936
Nilikua na mimba na ikatoka ikiwa na miez miwili na nikakutana na mwanaume alafu nikaaa mda kidog nikaona damu imetoka kidogo na kuona kama siko sawa mara kichwa na nimepima mara mbili sina mimba mana nilihic ni labda mimba imekaaa tena
Nitumie message whatsapp namba +25562019936
Kuna mdada hajaona period lakini kila akipima ujuzito kipimo kinasoma negative na Kuna baadhi ya dalili za mimba anazo na amepima zaidi ya Mara tatu
Mwambie aje asome hapa ndugu yangu
Mm cjaingia ktk cku zngu na naon tumb linaum mapgo ya moyo kwenda mbio
Okay
Hapana sababu mwanamke hawezi kupata ujauzito akifikisha miaka 45 na zaidi
Kwa Nini?
Smaahn doct Na wiki mbili na dalili ya kujaa mate mdomoni na kuumwa na mgongo kwenye kiuno na chunusi usoni Ila nilipima ikiwa na wiki mbili hakuna mimba Dr sjui tatzo Nini na kukojoa kila wakati pia ,
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo!
Jamn mwenzen sielewi nimeanza period mwez wa 8 tareh 17 na mim huwa mzunguko angu ni siku 25 mpk leoo sijaona alafu kichwa kinauma tu na tumbo linauma sana kam la period ila sioni
Soma hapo juu uelewe
Je hivyo vinyama vinavyoota kweny haja kubwa vinapotea pindi anapojifungua?
Inategemeana mtu na mtu wakati mwingine vinaweza visipotee mpaka ufanyiwe Upasuaji
Habar mam afya mim nilishiriki na Mr wangu lakn tangu nliposhirik nae xijapata hedhi yangu na nahix dalili za prd lakn damu haitok xitapiki wala kuchoka Ila hamu ya kula xin xhid inaez kuw nn
Pima mimba kutumia kipimo cha mkojo wa ahsubuhi
Pole
pole sana
Habari nilipima mimba ikatokea vimistari viwili vimekolea na sasa nashangaa napata period lkn damu ni nyepesi sana na sio nyingi je mimba Angu itakuwa na tatizo lolote
Ukafanyiwe vipimo kujua Mimba ipo au Lah!
Habar ni hivi tumbo linauma mara kwa mara but pia magoti yanauma kichwa nikisimama nahc kizungu zungu kiuno kinauma jee inawezekana kua ni ujauzto au laa naomba kujua ilo
Pima Mimba Kwa Kipimo cha Mkojo
Nahisi mdomo kuwa mchungu sana, je ntakuwa na mimba??
Sifahamu fanya kipimo cha Mimba
Kama unatumia njia za uzazi wa mpango huwenda ikawa sababu
Sababu ya kufanyaje?
Napata maumivu ya tumbo na kichwa kuuma
Wewe ni Mama Mjamzito au?
Make Wang siku zake Huwa zinatofautiana sana na kwa sasa imefikia akifika period zinatoka damu kidogo sana na uchafu wa rangi isiyo ya kawaida na damu ni kidogo tu. Inaweza kuwa tatzo ganj
Nadhani ulinitafuta whatsapp nikakupa maelekezo
Nina mimba ya wiki mbili ila naumwa Sana tumba atausku nikilala na tumbo linakuwa na guess
Uende hospitali ufanye vipimo
Tarehe ya mwisho ya kuingia period ilikuwa 17 mwezi wa kumi na moja mwaka huu, nikafanya mapenzi siku ya kumi na tano ya mzunguko wa wa siku 28 na mpka Sasa cjapata hedhi na nna unauzito je mimba yangu itakuwa na muda Gani?
Nitumie message whatsapp namba hii +255629019936
Nina maumivu ya kiuno na cku zangu zimepitiliza wiki je inaweza ukawa Ni ujauzito?
Soma hapo juu ujifunze zaidi
Habar toka nlpo kutana na mume Wang nina SKU sita mpaka sasa Ila najhs mchovu Sanaa na pia najhs kichefchef Ila sitapiki
Soma somo hapo juu
Vp hal mama afya mimi nikilala sometime nais km tumbon kit kimepta hfla yaan km kimenskum iv je iyo sio dalili
Soma vizrui hapo juu
MUNGU MWEMA KATIKA UJENZI WA TAIFA
Okay
Nina miaka 22 tumbo kinaniuma upande mmoja wa kulia je naweza kua mjamzito
Soma hapo juu uelewe
mim ninapata maumivu ya tumbo , mdomo unakuwa mchungu nakosa ham ya kula , sijapata hedhi mwezi huu, ma te kujaa mdomoni
Soma hapo juu vema
Mke wangu anaumwa kichw maumivu ya kubana na kuachia kw tumbo hyo inaweza kua dalili ya nn
Mimba ina umri gani ndugu yangu???
Habari,sijapata hedhi miezi miwili sasa na sioni dalili zozote za mimba na nikilibinya tumbo nahisi Kuna kitu kigumu Kama uvimbe kinapanda na kushuka chini
Hakuna kitu tumboni ni hisia zako tu
Nina wiki tatu tangu nilipokutana na mume wangu Ila nahic maziwa yanauma sana na tumbo linauma kama tumbo la hedhi je nitakuwa mjamzito
Naomba usome hapo juu vizuri
Nilipata period yangu mwisho ilikuwa 15 of DC 24th and 2sec of January ndio siku nilikuwa na Mzee wangu na kugikia tarehe 9nikaanza kuhisi maumivu makali ya tumbo na kiuno na moyo kupiga kwa Kasi ,mate yako uchungu na period sijaona je huenda ikawa ni mimba?
Pima mimba!
Mpenz Wang anapata kichefuchefu na tumbo linajaa gesi hii utakuwa ni dalili ya mimba au maana siku zinapita kama tano hajapata hedhi
Pima Mimba
Mimi swali langu nikwamba mwanamke kitovuni kwake mwanzoni kilikuwa ndani then now kimetoka nje na ajaonesha dalili nyingine je nimjamzito
Hapana
Dokta ,mimba unaweza kuonekana baada ya wiki mbili?
Ndio
Mtu ambae sio mjamzito shingoni panaweza kuwa panadunda sana kuliko kawaida km ndio,ni kwanini??
Hakuna uhusiano na ujauzito
P mm nkilalia tumbo naumia vip inawezekana kua ni mimba au na mapigo ya moyo kwenda mbio
Sidhani kama ni Mimba maana sioni Dalili ya Mimba hapo
Habari doct Nina mimba ya miezi 2 ukiwa umeanza kilink wakikubonyeza wana iyona au mpaka ifike miezi mingapi
Wiki 20 au Miezi 5 kwenda juu
nilifanya tendo la ndoa siku ya saba nikaanza kusikia kichefu chefu na kutapika na tumbo kuuma chini ya kitovu km nataka kuingia hedhi je ni dalili ya mimba?
Sidhani kama ni Mimba
Nikila kuna mda naisi kichefuchefu lkn sijawai tapika na naisi maumivu ya mgongo yaani uti wa mgongo kama unachoma na nakojoa mkojo wenye arufu kali matiti yananiuuma sana na ninalala sana lkn tabia ya kulala uvyo ninayo toka zaman na sioni sikuzangu na ninatokwa na uchavu mweipe kwa wingi na nimeongezeka uzito ni mwezi wa pili sasa lkn auna harufu inaweza kuwa ujauzito?
Pima Mimba
Mimba ya mwezi 1
Sawa
mara yangu ya mwisho kuingia period ilikuwa mwez wa nne tarehe 11 mwezi huu wa tano sijaingia period bado nilipima nikaona nina mimba je itakuwa inamda gani napata maumivu ya tumbo kwa mda na kuachia na mapigo ya moyo yanaenda mbio naweza kwenda hospital kusaidiwa maaan mapigo ya moyo hii hali inatokea mara kwa mara na kuchoka
Download pregnancy calculator itakusaidia kujua umri wa mimba yako
Smhn Dr mm nilimaliza period na nilipo Malika tu nikakutana n mwenzangu ila m period yangu haina ratiba Yan xna mzunguko maalumu,ila sas ni.week 3 na niko na dalili nyingi z mimba lkn kila nikijarbu kupima nakuta negative je inaweza kua n tatz gan??
Message WhatsApp namba +255 629 019 936
Mate yamejaa mdomoni tumbo linauma miguu yauma nakichefu chefu pia cjw nidalili gabi
Soma hapo juu
Mim mzunguko wang 28 na nilingia tareh 27/9 nikakutan ma mr. 9 mwz wa 10 sik ya 13 je, nilipat ujauzito au laah!
Sifahamu
Nili bebe mimba ikatoka mwenz wa pili mwaka huu mbaka sas sijapata mimba ten na mimb yangu ime alibikika ikiwa ya mwezi mmoj na nusu sas sijui nitakuwa natatizo gan ??
Nitafute WhatsApp number 0629019936
Sku zangu huwa haziji kwa mpangilionaweza nkavusha hata mwez nkaingia mwezi mwingine na tarehe hazijawahi kuja kwa moangilio mzuri na nakumbuka hedhi yang ya kwanza nilienda siku 17 ila baada ya kufanya tendo najikuta muoga Sanaa maana nahis kuwa nina mamba japo mwenza wang aliniambia kuwa hakufanya mistake ndani ya uke wang ila shuka lililoa bado nahis kuogopa sana
Nitafute WhatsApp
Nina miezi miwili sijaona hedhi zangu but napata uchafu mwingi na wenye harufu ukeni je n dalili ya nini??
Harufu ikoje ndugu yangu?
Ninamiaka 26 mm nilipitiliza mwezi moja na siku 10lakin damu ilikuwa inanitoka matone matone alafuinakata siku ya kumina 15 ikaja ikatoka damu nyingi.sana nikaenda siku 10. Talehe24 NIKAWA nikosawa nikakutana kimwili . .sasa nashangaa ninadalili kizungu zungu na kutapia
Nina miaka 44 nimemaliza siku zangu tar 23/11 Sasa nashangaa tar6)12 zimejirudia na maumivu ya tumbo na kiuno
Uende hospitali wakufanyie vipimo inawezekana kuna mabadiliko ya homoni unaelekea ukomo wa hedhi
Habari nina tatizo la kuchelewa kupata hedhi. Ni mwezi mmoja sasa tangu niingie period….lkn napata maumivu makali chini ya kitovu, kichefuchefu na kuhara
Inawezekana ni dalili za Mwanzoni za hedhi.
Mie nilienda period mwezi wa 3 trh 7 mwakahuu lakin mpka mwezi wa nne ukapita mwezi huu wa tano trh mbili nimeenda kukojoa vimetoka vidamu na tumbo la chini linauma ila hili lakuuma tumbo nikila siku linauma lkin Leo ndo vidamu vimetoka shida itakuwa nn
Tunaomba uliza maswali mara moja tu, uende hospitali ukafanyiwe vipimo.
Mm matiti inauma kichwa Na chin ya mgongo nakutoka Na vitu vya wait
Ok
Mimi ninadalili zote za mimba na nikipima sina mimba na hii hali inanipata mara nyingi sijui ninatatizo gani sishiki mimba ya pili
Subiri siku 7 pima mimba
Nilifanya mapenzi lakini zilikuwa si siku za hatari yani siku salama lakini Cha kushangaza mpaka sasa hivi sijaona period yangu je naweza nikawa na mimba ?
Sijafahamu naomba upime mimba kwa Mkojo wa ahsubuhi.
Dr tumbo linauma chini ya kitovu,ute umezidi kuwa mwingi ukeni,na maumivu ya kichwa napata lakio sio mara kwa mara joto linapanda
Je itakuwa ni nn dr??
Inawezekana una homa uende hospitali ukafanyiwe vipimo!
Mimi napata maumivu ya tumbo la hedhi lakini ,damu haitoki he inaweza KUWA ni ujauzito
Hapana
Habari mamaafya! Pole kwausumbuf
Mi nilikuwa naskia dalili zote za ujauzito mpk hamu yakula ilikata, maziwa yalijaa nakutuma lakini kuamkia Leo usku nimeingia period maana yake nini?
Inawezekana zilikuwa dalili za hedhi ila naomba uende hospitali wakupime Mimba pia
nilikutana na Mr. Alitak tufany ila nikaamzuia ila aligusixha ty juu ya uke Wang Je naweza pata mimba
Inategemeana kama alimwagia una uwezekana mdogo wa kupata Mimba.
halaf pia napta maumivu ya tumbo,kiuno,kichwa n chuchu zinauma na pia tumbo langu Liko na gesi xn xx cjui itakuw nn naomb unixaidie
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo
Nasumbuliwa tumbo kubana na kuachia tatizo linaweza kuwa nini pia napata joto kali usiku
Mimba ina umri gani?
Mm tumbo linauma kama nataka kwenye siku zangu lakini amna ninasiku ya tano lakini tumbo bado linauma sasa sijajua tatizo ni nin
Endelea kusubiri hedhi, usipopata hedhi pima mimba baada ya siku 7
Habari dokta, swali langu ni kuwa je kuumwa na mgongo upande wa kushoto na kiuno upande wa kushoto na siku za hedhi zimepitiliza ,lakini baadae nikaona damu nyepesi je dalili ya mimba au kitu gani?
Nadhani ni dalili za hedhi tu ndugu yangu japokuwa pima Mimba uone kama ni Mimba au lah.
shida inakuwa ni nn km napata tupo la hedhi alafu sion siku zangu na uchafu uken unatoka kidogo na mzito
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo
Ninamimba ya mwezi na siku lakini tumbo linanguluma Sanaa je nn tatizo wadau?
Inawezekana Una gesi nyingi tumboni ni hali ya kawaida kwa umri wa Mimba yako japokuwa unaweza kwenda hospitali ukaandikiwa Dawa.
Hajaona siku zake siku12 ,anakojoa mala kwa mala na kipimo Cha UPT kimeonyesha mimba ila Cha ajabu damu imetoka alafu ikakata,je ni nini?
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo.
Nimeweka kipandikizi na cjaingia kwenye sku zangu je hio ni dalili ya kpata mimba
Kama unatumia Uzazi wa Mpango ni kawaida!
Nmepitiliza mwez mmoja cjaona siku zangu mgongo unauma na maziwa yanauma lakini tumbo haliumi je naweza kuwa mjamzito
Pima Mimba
Damu nyepesi kutoka kwa mjamzito ni kawaida kwasabb mwili unapitia mabadiliko na piaa mtoto anajijenga au kujipachika vzr kwenye ukuta wa placenta,,,so ni kawaida
Dada usimshauri mwenzako namna hiyo sawa eeh si salama kabisa
Habari Dr naomb kuuliza mm yaan ziwa moja linaniuma xana na linatoa majimaji sijui shida ni nn
Wewe Mjamzito au?
Je mimba ikiharibika period tarehe zitarudi kama mwanzo au mpangilio utabadilika
Mpangilio utabadilika tu ndugu yangu
Mimi NILIPATA bleed tareh 22
Nikamaliza tareh 26
Then tareh 27 ,28,1 mwez wa 5
Nilisex
Nikawa napata dam ndogo tu za cku 2 zinaisha
Nikaendelea kujisikia vibaya tareh 8 mwez wa 5 nimepima u.p.t inaonesha positive ndo najiuliza inawezekana ikawa ni mimba????? Na nimepima kwa vipimo v3 vyote vinaonesha ivo
Ndio Ni Mimba
Nina umri wa miaka 25 na sioni siku zangu ila sina dalili yoyote ya mimba shida ni nn au inaweza kuwa ni sababu ya kubadilisha mazingira.
Tokea lini?
Mimba inaweza kuonyesha reaction kwa sik 2
Hapana
Ndugu yang anashida samahani dokta Mimba iliharibika mwezi wa 4 tarehe 15 hadi leo mimba Bado inasoma ipo je Ni mimba nyingine au mimba ya mwanzo inasoma?
Atutafute whatapp
Habari nina dada yangu anaujauzito wa wiki ya nne sasa ila ameanza kupata maumivu ya mgongo kiuno na tumbo leo ni siku ya tatu na akienda haja ndogo mkojo unakua msafi ila mwisho kabisa anaona matone ya damu je nini afanye mana ameenda duka la dawa wanasema viashiria vya mimba kutoka na wamempa phenobabiton na buscopai
Aende hospitali kwa ajili ya vipimo!
Mimba yangu ilitoka nliona vinyamanyama tuh na damu kidogo ikawa inaendelea iliyopauka mimba ilikuwa wiki mbili ila sasa hiv nashika chini ya kitovu kwa mbali nahisi ugumu shida ni nini?? Haijatoka ama
Tunaomba ukafanyiwe Vipimo ili kujua imetoka au Lah
mm nilikuwa natumia sindano za uzazi lakn ilipo isha muda sikuchoma na nikapata siku zangu 26 mwez wa 5 mpka ss sijaona tena lakin nimekuwa pono na mvivu sana chuchu zimeanza kuuma nina wiki ss nimepima lakin kipimo kimekuja negative hvi nitakuwa na dalili ya nn
Subiri Siku 7 usipopata hedhi pima tena Mimba kwa kutumia Mkojo wa ahsubuhi
Habari Mimi nilikua natumia dawa za kupanga uzazi ndani ya mwaka mmja na nikaziacha tokea mwezi wa nne nikapata period mwezi wa tano na sasa imefika miezi 3 sijapata periods naumwa chini ya kitovu na nimepima mimba zaidi ya Mara tano sina mimba na dalili zote za mimba nikonazo na nimepima kila ugongwa sina sasa itakua ni nn nisaidieni na mawazo maana mwili wangu naona unaongezeka kila Mara.
Fanya vipimo vya Homoni zako inawezekana kuna hitilafu katika homoni.
Habari mama mjamzito wa wiki 8 anaumwa sana tena mara kwa mara akienda kupima hana ugonjwa ila anasikia maumivu tumboni na kichwa kuuma pia kuhisi homa hii inasababishwa na nini na ikiwa huu ni ujauzito wake wa kwanza
Na nini anapaswa kufanya ili awe sawaa
Nitumie message whatsapp namba +255 629 019 936
Mim nilikutan namr wangu baada ya hapo Huw nahisi homa hasa asubuhi na usku na tumbo linaniuma kama ntaka kuingia kweny period na vitone vya damu alfu vinakta unatoka Ute mwingi mweupe hii inawez kuw mimb?
Ukafanyiwe vipimo na ujitahidi kusoma masomo yetu mkuu
Shida yangu huwa nahisi tumboni kuna vitu vinacheza shida nin?. Na jambo lingine nimeshangaa kuingia kwenye siku zangu mala mbili na haijawai nitokea
Uende hospitali ukafanyiwe vipimo ndugu yangu
Dr. Mke wng toka atoe ujauzito mwez wa 2 mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwenye siku, mwezi wa 4 alienda sku 13 ila maumivu yalizidi mpaka nikampelela hosptl wakampa dawa na sindano, akakaa sawa ila mwez wa tano na wa sita kaingia sku 6 mpaka 7. Mwez huu wa sita ikiwa naendelea kulala nae tena sku za ovulation ili apate mtoto kwa mda huu ameingia leo asubuhi kwa kuona mabonge bonge basi then ikakata alivoenda kukojoa. Je tatizo ni nini doc.?
Kama Mimba iliharibika mnatakiwa msubiri angalau miezi 6 pasipo kupata Mimba ili Mkeo Mji wa Uzazi uweze kupumzika, sasa mpeleke hospitali kafanyiwe vipimo zaidi ili kujua shida yake haswa ni ipi?!
Siyo mara zote ndugu
Inategemea siyo mara zote
Inategemea
Samahan doctor mm nilipata hedhi tareh 30 mwez5 ila ilikuwa siku yangu imebadirika nilishangaa sana kuona siku zimebadirika nikajua tapa tena siki zang tareh 7 mwez 7 ila chakushangaza sijapata siku zangu mpk hii tareh 14 ila napata maumiv yakiuno kama naingia kwenye siku zang nq chuchu zinauma
Sanq kichwa na mgongo inaweza ikawa nn docter
Hali ya kawaida inawezekana kumekuwa na Madadiliko ya Homoni ndugu yangu.
Sijawahi fanya mapenzi ila Nina Mpenz I amabaye huwa tunafanya lakini hajawahi kabisa kuingiza ndani yaani hufanya juujuu tu.je hapo naweza kupata mimba?
Sifahamu
Nimeigia piriod tareh 16 mwezi wa 7 je siku zangu za hatari n zipi?
Sifahamu lazima ujue mzunguuko wako kwanza?
Niliona Ute wa uzazi siku ya Saba ya hedhi nikafanya mapenzi siku hiohio ya Saba saiv mwili hauna nguvu nahisi kulala Kila muda naona Ute mwing unatoka ukeni mdomo mchungy.
Pima Mimba kwa kipimo cha mkojo
Jamn me nahc kichefu chefu nikiona chakula au nikimalza kula 2 nahc kichef chef Ila ctapiki
Pole sana Mimba yako ina umri gani?
Habar docta swal langu n kwamba cjapata hedh mwez huu na zmepitilza xk 5 kuna mda nahisi dalil za hedh lkn cn dalil yyt ya mimb n matit kujaa t sijajua nbtatzo gan
Subiri siku 7 usipopata hedhi Pima mimba tena
Dr mm nimemaliza piriad nikakutana na mume wangu siku zangu za hatari lkn saiv tumbo linaniuma sana chini ya kitovu mda mwengine mpaka chini kunavuta mpaka kiuno kinauma nikifanya kazi za kuinama sana mgongo unauma nimetoka chunusi maziwa yanauma mda mwengine kama nataka kuingia kwenye piriad lkn tarehe yangu bado sana inaweza ikawa ni mimba mda mwengin nikimaliza kusex tumbo linauma sana
Fanya kipimo cha Mimba
Naomba kuuliza Kuna dalili naziona natema sana mate mdomo mchungu nachagua vyakula miguu Haina nguvu….Cha hajabu jana nilipo amka na kwenda chooni nikaona Ute Ute umachanganyika na damu Kwa mbali
Subiri siku 7 usipopata hedhi pima Mimba
Nina maumivu sana ya kiuno na mgongo na mda mwingine swezi fanya kazi nikiwa nmeinama mpaka nikiwa nimekaa.. mwili nao unachoka saanaa je na mim nitakuwa na ujauzito??
Pima Mimba kwa kipimo cha Mkojo
Mimi ni mama mjamzito na nimepata shida ya bawasiri je inaweza ikaleta shida kwa mtoto aletumboni?
Hapana shaka
Sina dalili za mimba kama vile kichefuchefu wala kutapika na zingne pya lakin kipimo cha mkojo kinaonesha na mimba je hii inawezekan?
Ndio
Habari mama afya pole na majukumu ya kazi..mimi siku nane baada ya kukutana na mwenza wangu nilianza kutokwa na damu natone haijai kwenye pad na nikifuta inakuwa na rangi ya pink nikajaribu kupima mimba ikatokea mstari moja umekoa na mwingine umefifia,baada ya siku tatu nikapima tena majibu yakaja negative sasa sielewi shida ni nini
Sidhani kama ulikuwa Mjamzito labda ulikosea kusoma kipimo
Samahani. Mm sihawahi kua na mimba ila baad yakufanya tendo la ndoa nina wiki mbil sipat usingiz mate yana jaa mdomon napia sijaenda kwenye hez
Soma vizuri hilo somo hapo juu
“habar dr
nahis kichefu chefu na kutapika, kichwa kinauma sana nmekutana na mpenz wangu siku 3 nyuma, jee npo n mimba?”
Soma somo hapo juu
Samahn sifaham jinsi ya kuhesabu mzunguko mfano nimeanza piriod tareh 18 mwez 12harafu nikaanza Tena piriod tarehe 15mwez wa1 je hapo na hesabu vip ili
kujuwa siku ya kushika ujauzito
Message WhatsApp namba +255629019936
Samahani DR Mimi nilikutana na mpenzi wangu siku ya 18 na ya 25 januari baada ya period lakini mpaka sasa sijaingia period je naweza kupata mimba?
Sifahamu fanya kipimo
Nina mwezi mmoja sija bleed na napata dalili za mimba natokwa na chunusi usoni na choka mara kwa mara napata maumivu ya kichwa but nimepima zaidi ya mara tatu majibu ni negative je nitakuwa na shida gan??
Subiri siku 5 pima tena Mimba
Samaan me nilikutana na mwezang siku zang za hatari lakini nimeenda kwenye siku zangu period imetoka tofauti na inavyo toka mwanzo ina maumivu makali ya kiuno na sipati hamu ya kula hovyo pia imetoka siku zote minazi endaga na nilichelewa kwenda shida inaweza kuwa nn
Inawezekana mabadiliko ya homoni ya kawaida.
Samaan mtu aliye fanyiwa abotion akitumia dawa za kienyeji anaweza pata madhara yoyote kwenye kizaz
Nina zaid ya wiki mbili napata dalili zote za mimba ila wiki ya tatu kwenye tarehe zang za period nimeingia period lkn damu ni nyepesi na kichwa kinauma pamoja na maumivu ya tumbo chini ya kitovu na nilipima mimba wiki moja kabla ya hedhi kipimo kikaonyesha sina je hii inaweza kua ni nini?
Ni Dalili za hedhi tu ndugu yangu
Je mimba ilitungwa nje ya uzazi inaweza toka???
Hapana
Habari, naomba kuuliza niliweka kipandikizi (kijiti) Cha miaka 3 lakini nilikitoa baada ya miezi 4 tu kwasababu ya changamoto nilizokuwa napitia kama kuumwa mara kwa mara na matone ya damu Kila wakati. Tangu nimekitoa Nina week mbili sasa sijaingia period je naweza kuwa na shida mahala?
Wiki mbili chache sana endelea kusubiri utaingia hedhi
Habari naomba kujua kuwa nimepitiliza siku zangu Leo siku ya 2 Ila nahisi maumivu ya tumbo LA period kwa mbali Siku ya tatu hii hali lakini dam hazitoki hii inaweza kuwa shida gani?
Pima Mimba
Habari Dr
Me nimekutana na mwenzangu katika siku zangu za hatari lakini sioni dalili zozote za mimba ila tarehe zangu za period zimepita na sijaona siku zangu je naweza kuwa mjamzito
Fanya kipimo
Je kuumwa kicha na kizunguzungu ndani ya wiki mbili n moja ya dalili za ujazuzito?
Soma vizuri somo hilo hapo juu
Mm sijaona siku zangu nimepitiliza siku 4 lakin; naumwa tumbo kam nataka kuingia p, pia naumwa kiuno na uchovu na sipat haha kubwa je shida itakuwa nn
Naomba usome vyema hapo juu
okay
Mim nahc kichefuchefu,kichwa kinauma na tumbo langu limeanza kukua,mwili umechoka,uchovu mood ni hasira sana lakn cha ajabu nimeenda period ck 7, ambayo c Kawaida na nimechelewa kupata period…inawezekana ikawa ni mimba?
Hapana mimba
Habari Dr.
Mimi nilishiriki tendo la ndoa na mwenza wangu siku ya 8 baada ya hedhi na mzunguko wangu ni siku 28 ilikua niingie period tarehe 21 mwezi wa Tisa, wiki mbili sasa zimepita sijaona lakini tumbo linajaa gesi na nasikia maumivu ya tumbo chini ya kitovu, nimepima kipimo Cha mkojo kionesha hamna, je naweza kua na ujauzito?
Subiri wiki 1 usipopata hedhi pima tena Mimba ndugu yangu
Sorry doctor,ninaujauzito wa wiki mbili napata maumivu ya tumbo upande mmoja wa kushoto,je inaweza kuwa changamoto?
Ndio uende hospitali wakufanyie uchunguzi
Tumbo langu upande wa kushoto linapiga piga kama mapigi ya moto hvi upande wa kushoto hvi unaweza kuwa ni nini
Message whatsapp namba hii +255629019936