Archives : December, 2021

Dalili za Mwanzoni za Kujifungua au Uchungu kwa Mjamzito.

Dalili za Mwanzoni za Kujifungua au Uchungu kwa Mjamzito.

Endapo umefikisha Miezi Mitatu ya Mwishoni mwa Ujauzito yaani Wiki 28 Hadi Wiki 36, kipindi ambacho bado Mtoto hajakomaa vizuri na Uchungu Halisia kuanza Baadhi ya Wajawazito hupata Dalili mbalimbali

Continue reading

Maumivu ya Tumbo Chini ya Kitovu kwa Mjamzito Husababishwa na Nini?

Maumivu ya Tumbo Chini ya Kitovu kwa Mjamzito Husababishwa na Nini?

Maumivu ya Tumbo Chini ya Kitovu kwa Mjamzito huweza kuwa Hali ya kawaida kutokana na mabadiliko mbalimbali katika kipindi cha Ujauzito au Dalili Hatarishi, Mambo yafuatayo huweza kusababisha Maumivu ya

Continue reading

DALILI 30 ZA MIMBA CHANGA (Wiki 2 mpaka Miezi 3 ya Ujauzito)

DALILI 30 ZA MIMBA CHANGA (Wiki 2 mpaka Miezi 3 ya Ujauzito)

Mjamzito mwenye Ujauzito wa kuanzia wiki 2 mpaka mwezi mmoja anaweza kuwa na Dalili zifuatazo; KUMBUKA; Dalili pekee hazitoshi kuonesha kuwa Mjamzito kuna Baadhi ya Magonjwa huwa na Dalili zinazofanana

Continue reading

Where Do You Feel Baby Kicks During Pregnancy?

Where Do You Feel Baby Kicks During Pregnancy?

One of the most exciting parts of pregnancy is feeling all those baby kicks. While they can help you feel connected to your baby, as they get stronger if they

Continue reading

Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?, Na suluhisho lake ni lipi?

Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?, Na suluhisho lake ni lipi?

Kwa kawaida Kutokana na Mabadiliko mbalimbali ya Kipindi cha Ujauzito, Mjamzito anaweza kuwa na Dalili za kuwa na Maumivu ya Mwili ikiwemo Maumivu ya Mbavu inawezekana Mbavu za Kushoto,Kulia au

Continue reading