Archives : September 14th, 2021

MJAMZITO HUTAKIWI KUMEZA SP ZA MALARIA MIEZI MITATU YA MWANZONI MWA UJAUZITO!

MJAMZITO HUTAKIWI KUMEZA SP ZA MALARIA MIEZI MITATU YA MWANZONI MWA UJAUZITO!

Sulfadoxine-Pyrimethamine (SP) ni dawa za Malaria hupatikana kwa Jina la Fansidar au Orodar ambazo hutolewa kwa Wajawazito kuanzia Mimba inapofikisha Miezi mi4 kwenda juu kulingana na andiko la mwaka 2012

Continue reading

Ugonjwa wa Fangasi Ukeni kwa Mjamzito na Matibabu yake! (VAGINA CANDIDIASIS / VULVOVAGINAL CANDIDIASIS (MONILIASIS).

Ugonjwa wa Fangasi Ukeni kwa Mjamzito na Matibabu yake! (VAGINA CANDIDIASIS / VULVOVAGINAL CANDIDIASIS (MONILIASIS).

Fangasi za Ukeni kwa Wanawake huwa ni Ugonjwa ambao unawapata kwa kiasi kikubwa (40%) haswa baada ya kubarehe hadi kipindi cha ukomo wa wanawake kushika ujauzito(Miaka 12 – 45). Fangasi

Continue reading