Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na Nini?
Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito ni jambo ambalo haliepukiki katika kipindi cha Ujauzito, Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito huweza kutokana na sababu za Ujauzito au Sababu tofauti na Ujauzito ambapo
Je Mjamzito aliyewahi kujifungua kwa Upasuaji anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida!
JE MJAMZITO ALIYEWAHI KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI ANAWEZA KUJIFUNGUA MIMBA INAYOFUATA KWA NJIA YA KAWAIDA?. Mjamzito ambaye aliwahi kujifungua Mara moja kwa Upasuaji kwenye Mimba iliyopita na endapo sababu iliyopelekea kujifungua
Mapigo ya Moyo kwenda Mbio Katika Kipindi cha Ujauzito!
Mapigo ya Moyo kwenda katika kipindi cha Ujauzito ni hali ya kawaida,Tafiti zinaonesha kwamba 60% na zaidi ya Wajawazito hupata Dalili hii ktk kipindi chote cha Ujauzito.Kwa kawaida Mapigo ya
Je kipimo Cha Mimba huacha kuonesha kuwa Mjamzito lini?, Tokea Mimba kuharibika!
Mimba kuharibika ni Hali ambayo huwakuta 10% hadi 20% Kati ya Wanawake wote wajawazito yaani katika Wanawake Wajawazito 100, Kati ya Wanawake 10 Hadi 20 Mimba zao huishia kuharibika, 80%