MJAMZITO HUTAKIWI KUMEZA SP ZA MALARIA MIEZI MITATU YA MWANZONI MWA UJAUZITO!
Sulfadoxine-Pyrimethamine (SP) ni dawa za Malaria hupatikana kwa Jina la Fansidar au Orodar ambazo hutolewa kwa Wajawazito kuanzia Mimba inapofikisha Miezi mi4 kwenda juu kulingana na andiko la mwaka 2012
Ugonjwa wa Fangasi Ukeni kwa Mjamzito na Matibabu yake! (VAGINA CANDIDIASIS / VULVOVAGINAL CANDIDIASIS (MONILIASIS).
Fangasi za Ukeni kwa Wanawake huwa ni Ugonjwa ambao unawapata kwa kiasi kikubwa (40%) haswa baada ya kubarehe hadi kipindi cha ukomo wa wanawake kushika ujauzito(Miaka 12 – 45). Fangasi
JINSI YA KUNYONYESHA MTOTO NA FAIDA ZAKE!
KUNYONYESHA hii ndio njia bora ya kumpa Maziwa yako kama Chakula kwa Mtoto wako Mchanga ili aweze kukua Kiakili na maendeleo yake kiafya. Kulingana na Shirika la Afya Duniani(WHO) na
BRIGHTEN OVUM (ANEMBRYONIC PREGNANCY)
BRIGHTEN OVUM and ANEMBRYONIC PREGNANCY can be used interchangeably, this is the type of Pregnancy that occurs after a fertilized Ovum that divides and fails to grow properly of the
MIMBA ISIYOKUWA NA KIINI (BRIGHTEN OVUM).
Mimba isiyo na Kiini ni aina ya Mimba ambayo hutokea baada ya Yai la kike lilorutubishwa ambalo hugawanyika na kushindwa kufanyika kwa Kiini ipasavyo ambapo huweza kujishikiza kwenye ukuta wa
Ugonjwa Unaoathiri Meno Katika Kipindi Cha Ujauzito (Pregnancy Gingivitis)!
Ni shida au Ugonjwa unaoathiri baadhi ya Wajawazito ambapo Dalili zake huweza kuanza kuonekana kuanzia mwezi mmoja wa ujauzito mpaka miezi Tisa na hupotea Mara baada ya kujifungua au baada
Je Mjamzito anatakiwa kulalia Upande wa Kushoto Mimba inapofikisha wiki ngapi?
Endapo wewe ni Mjamzito kwa Mara ya kwanza tambua ya kwamba kuna Mambo unatakiwa kuacha kufanya endapo ulikuwa unafanya kipindi ambacho hukuwa Mjamzito lakini pia unatakiwa kuanza kufanya Mambo mapya
Kwa nini ni muhimu Mjamzito kushiriki Tendo la Ndoa?
Tendo la Ndoa ni Mojawapo ya starehe ambayo Mwanadamu alipewa na mwenyezi Mungu.Japokuwa zaidi ya 50% ya Wajawazito kupunguza hamu ya kushiriki Tendo hilo katika kipindi Cha Ujauzito ukilinganisha na
Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na Nini?
Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito ni jambo ambalo haliepukiki katika kipindi cha Ujauzito, Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito huweza kutokana na sababu za Ujauzito au Sababu tofauti na Ujauzito ambapo
Je Mjamzito aliyewahi kujifungua kwa Upasuaji anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida!
JE MJAMZITO ALIYEWAHI KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI ANAWEZA KUJIFUNGUA MIMBA INAYOFUATA KWA NJIA YA KAWAIDA?. Mjamzito ambaye aliwahi kujifungua Mara moja kwa Upasuaji kwenye Mimba iliyopita na endapo sababu iliyopelekea kujifungua