Archives : July, 2021

MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA.

MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA.

Mjamzito anatakiwa kujiandaa Kisaikolojia, Kibaologia na Kiakili kipindi ambacho tayari Mimba yake imefikisha Miezi Tisa na muda wa kukaribia kujifungua.Endapo Mjamzito alihudhuria Kliniki ipasavyo na kupewa elimu muhimu inayo husiana

Continue reading

MJAMZITO ANARUHUSIWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA MPAKA LINI?

MJAMZITO ANARUHUSIWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA MPAKA LINI?

Tendo la Ndoa ni Mojawapo ya starehe ambayo Mwanadamu alipewa na mwenyezi Mungu.Japokuwa zaidi ya 50% ya Wajawazito kupunguza hamu ya kushiriki Tendo hilo katika kipindi Cha Ujauzito ukilinganisha na

Continue reading

MIMBA KUHARIBIKA/KUTOKA MARA KWA MARA KUTOKANA NA UDHAIFU WA MLANGO WA UZAZI (CERVICAL INSUFFICIENCY)

MIMBA KUHARIBIKA/KUTOKA MARA KWA MARA KUTOKANA NA UDHAIFU WA MLANGO WA UZAZI (CERVICAL INSUFFICIENCY)

UDHAIFU WA MLANGO WA UZAZI Udhaifu wa Mlango wa Uzazi ni Hali au shida ambayo huhusisha Mlango wa Uzazi kushindwa kudhibiti au kuzuia Mimba isitoke mpaka kipindi ambacho Mtoto anakuwa

Continue reading

Je Mama anaye nyonyesha anaweza kupata Ujauzito/Mimba?

Je Mama anaye nyonyesha anaweza kupata Ujauzito/Mimba?

Jibu Ndio! Kuna baadhi ya akina Mama wanaonyonyesha hujishtukia tayari wana Mimba nyingine ndani ya miezi 6 tokea wajifungue hii ni kwa sababu wanashindwa kujua vigezo ambavyo vitawafanya wao wasitumie/watumie

Continue reading