MIMBA ZABIBU
MIMBA ZABIBU Hii ni aina ya Mimba ambayo hutokea endapo mbegu ya Kiume imerutubisha Yai la Kike ambalo halina kiini au hata kama yai hilo lina kiini basi kiini ambacho
ONGEZEKO LA UZITO KWA MJAMZITO MWENYE MIMBA YA MAPACHA.
Uzito wa mama Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha hutofautiana na Mjamzito mwenye Mimba ya mtoto mmoja kwa kiasi kikubwa Sana, hivyo endepo Mjamzito akiwa na Mimba ya Mapacha anahitaji kuongezeka
ONGEZEKA LA UZITO KWA MJAMZITO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO.
Uchunguzi wa hivi karibuni uligundua kuwa karibu theluthi moja (32%) ya wanawake walipata kiwango kilichopendekezwa cha uzito wakati wa ujauzito na wanawake wengi walipata uzito nje ya mapendekezo (21% kidogo