Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!!
Kwa nini kwa baadhi ya Wajawazito Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuweza kuanza? Kuna Baadhi ya Wajawazito Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kutoka na sababu mbalimbali, kabla hatujaona sababu zinazopelekea.