Archives : May 13th, 2021

Vyakula anavyopaswa kula mtoto kulingana na Umri Wake.

Vyakula anavyopaswa kula mtoto kulingana na Umri Wake.

Kama unapenda mtoto wako awe na Afya bora tunapendekeza fanya haya katika chakula chake ili kuepusha kupata magonjwa yanayoepukika; Kuzaliwa hadi miezi 6 : watoto wachanga wanapaswa kunywa maziwa ya

Continue reading

Mlo Kamili kwa Wajawazito na Watoto

Mlo Kamili kwa Wajawazito na Watoto

Ni muhimu sana akina mama wajawazito na watoto wadogo kula mlo kamili na ulio salama. Katika utafiti uliofanyika katika nchi 6 kule Ulaya na ukachapishwa tarehe 16 oktoba 2019,umeonesha kwamba,

Continue reading

Sababu za Kuumwa kichwa kwa Mama Mjamzito

Sababu za Kuumwa kichwa kwa Mama Mjamzito

Kuumwa kichwa kwa Mama Mjamzito huweza kutokea kwa sababu ya mabadiliko ya kibaolojia katika mwili wa Mama huyo. Lakini kumbuka kwamba wanawake ambao wana umri ambao wanaweza kubeba Mimba ndio

Continue reading

Dalili za hatari kwa Afya ya Mama Mjamzito  au Kwa mtoto aliyepo tumboni mwake!

Dalili za hatari kwa Afya ya Mama Mjamzito au Kwa mtoto aliyepo tumboni mwake!

Kuna wakati fulani Mama Mjamzito anaweza kupata Dalili ambazo ni hatari kwa Afya yake au Kwa mtoto aliyepo tumboni mwake! Kulingana na shirika la Afya Duniani (WHO)limeanisha Dalili Tisa hatari

Continue reading